0
Ndugu waumini tumsifu Yesu Kristu,siku ya kongamano la tatu la Ekaristi Takatifu kitaifa imeawadia ni tarehe 8-11/06/2016 katika Jimbo kuu la Mwanza wote mnaalikwa tumwabudu Yesu wa Ekaristi.


PIA KUTAKUWA NA KONGAMANO LA UTOTO MTAKATIFU WA KIPAPA. KILA LA HERI KWENU WOTE MUTAKAO JAALIWA KUHUDHURIA HUKO. "SISI WANA TUNDURU-MASASI TUNAWALETEA MSALABA WA KONGAMANO LA UTOTO MTAKATIFU 2016



By Gasper Emmanuel Senkono‎

Chapisha Maoni

 
Top