Albamu ya 11 ya KMK.
Inazinduliwa tar 16 July 2016
INAITWA-----MIMINA NEEMA
Kava litakuwa na rangi ya blue bahari na nyeupe.
Maelezo mengine ya ziada utayaona alasiri ya leo ukiwa na DVD yako mkononi. Ndiyo kusema usikose Loyola.
Kwa nyongeza,
Kuna swali liliulizwa siku za nyuma hakuna mtu aliyepata jibu sahihi. Tuliuliza mtunzi mpya ambaye KMK haijawahi kurekodi wimbo wake wowote.
Kuna swali liliulizwa siku za nyuma hakuna mtu aliyepata jibu sahihi. Tuliuliza mtunzi mpya ambaye KMK haijawahi kurekodi wimbo wake wowote.
Huyu ni BERNARD JAMES MAPALALA kutoka St. Peter's Oysterbay Dar Es Salaam.
Na ifuatayo ndiyo orodha ya nyimbo 12 za albamu hii bila kuzingatia mtiririko uliomo:
1. Mimina Neema - Bernard Mukasa.
2. Makao Yesu - E.F.Jissu
3. Nalisema - B.J. Mapalala
4. Wewe ni Mungu - Bernard Mukasa
5. Maneno tu - Charles Ruta
6. Mungu ni upendo - E.F.Jissu
7. Nusu kwa Nusu - Deo Nkoko
8. Maisha yangu - Bernard Mukasa
9. Tazama Mateso - S.Z. Mutafungwa
10. Nitafumbua Kinywa - Wilson Mukebezi
11. Apewe Sifa - Zacharia Gerald
12. Nyota ya Mashariki - Bernard Mukasa.
Studio (Audio & Video):
RAJO PRODUCTIONS
Tabata - Dsm
RAJO PRODUCTIONS
Tabata - Dsm
Kinanda (Jopo):
1. Fridolinus B. Mushibozi
2. Ray Ufunguo
3. Wilson Mukebezi
1. Fridolinus B. Mushibozi
2. Ray Ufunguo
3. Wilson Mukebezi
Waimbishaji (Jopo):
1. Bernard Mukasa
2. Zacharia Gerald
3. Sylivester Ernest
4. Phabian Mushobozi
5. Matilder Sendwa
1. Bernard Mukasa
2. Zacharia Gerald
3. Sylivester Ernest
4. Phabian Mushobozi
5. Matilder Sendwa
Directors:
1. Bernard Mukasa
2. Zacharia Gerald
1. Bernard Mukasa
2. Zacharia Gerald
Producer:
1. Ray Ufunguo
2. Phabia Mushobozi
1. Ray Ufunguo
2. Phabia Mushobozi
Camera:
1. Ray Ufunguo
2. Phabian Mushobozi
3. Mc Collins
1. Ray Ufunguo
2. Phabian Mushobozi
3. Mc Collins
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni