0
Mimina Neema. Ni Toleo la 11 la Kwaya ya Mtakatifu Kizito, Parokia ya mwenye heri Anuarite - Makuburi, Dar es salaam. Huu ni wimbo mmoja miongoni mwa nyimbo 12 zinazofanya Album hii. Jipatie nakala yako ya DVD sasa. Piga simu namba +255 715 160 055 au +255 743 731 937


Chapisha Maoni

 
Top