Ni kwaya ya Shule ya Mt.Maurusi Sumbawanga. Huu ni moja kati ya nyimbo kumi zilizopo katika album yao ya kwanza "TUSIJIPENDE" Mtunzi wa wimbo huu anaitwa D.Kidaha kwa sasa yupo Kigoma. Album imerekodiwa katika studio bora kabisa za TRIPLE J-MBEYA simu namba 0755 109880, na kinanda kimechezwa na Ephraim Kashusha. Video imerekodiwa na kuhaririwa na TANGANYIKA PRODUCTIONS iliyopo Iringa wasiliana nasi kwa simu namba +255 762 380 376 au tutafute kwa jina la Tanganyikaproduction katika mitandao ya kijamii. kwa mahitaji ya DVD piga simu namba 0764 069005 au 0755 372276
TUSIJIPENDE Kwaya ya Mt Nicholaus ST MAURUSI CHEMCHEMI Sec SChool SUMB...

Chapisha Maoni
Chapisha Maoni