0
KWA MTANDAO WA VODACOM:
a*150*00# piga

b chagua namba 4 (lipa kwa M-pesa)

c chagua namba 4 tena (weka namba ya kampuni)

d weka namba ya kampuni = 100200

e weka namba ya kumbukumbu ya malipo (weka namba ya mkoa wako)

f weka kiasi

g weka namba ya siri (namba yako ya siri)

h bonyeza 1 kuthibitisha
KWA MTANDAO WA TIGO:
a *150*01# piga

b chagua namba 4 (malipo)

c chagua namba 3 (ingiza namba ya kampuni, 100200)

d weka namba ya kumbukumbu ya malipo (weka namba ya mkoa wako)

e weka kiasi

f weka namba yako ya siri
KWA MTANDAO WA AIRTEL
a *150*60# piga

b chagua namba 4 (lipa bili)

c chagua namba 3 (weka jina la kampuni)

d andika jina la biashara(100200)

e ingiza kiasi cha pesa

f ingiza namba ya kumbukumbu(weka namba ya mkoa wako)

g ingiza namba ya siri kulipia(ingiza namba yako ya siri)
Namba ya Mkoa wako

1 Dar -ES Salaam 1

2 Songea 2

3 Mtwara 3

4 Arusha 4

5 Mbinga 5

6 Mwanza 6

7 Kilimanjaro 7

8 Mpanda 8

9 Iringa 9

10 Singinda 10

11 Mbeya 11

12 Pemba 12

13 Unguja 13

14 Mikoa mingine 14
kwa tatzo lolote tembelea  http://www.radiomaria.co.tz/Sapoti/


Changia moja kwa moja kupitia akaunti ya benki

UNAWEZA PIA KUCHANGIA UTUME WA RADIO MARIA KUPITIA ACCOUNT YETU YA BANK:
CRDB 0150303 128 000( JINA LA ACCOUNT NI "MARAFIKI WA RADIO MARIA").
KWA WALIO NJE YA NCHI:
SWIFT CODE - CORUTZTZ
KARIBUNI SANA MPENZI MSIKILIZAJI NAWE MTAZAMAJI WA WEBSITE YETU KUICHANGIA RADIO MARIA

Chapisha Maoni

 
Top