Hii ni blog inayohusu mambo ya Jamii,Dini kama Nyimbo,habari za dini,mafundIsho,masomo katika Biblia,wasifu wa watu mbalimbali n.k
Hivyo nyote mnakaribishwa sana katika kujifunza na kufaidi mambo kadha wa kadha toka humu.
kwa maoni mbali mbali naomba uwasiliane na Mhusika wa blog hii kwa:
Mwanzilishi wa Blog hii anaitwa Laurent Benard Ludovick, ambaye lengo na dhumuni la kianzisha Blog hii ni kusaidia jamii hasa katika mambo ya Dini,hususani IMANI MOJA KATOLOKI YA MITUME na pia lengo kuu zaidi ni kuelimishana sisi sote.
Hivyo kwa lolote lile ambalo unahisi linafaa kulingana na maudhui ya Blog hii usisite kutuma au kuwasiliana nasi kwa anuani tajwa hapo juu.
Ahsante.

Chapisha Maoni
Chapisha Maoni