KUNA MIFUMO MIKUU YA KUPATA
WACHUMBA WATU HUTUMIA
1. MFUMO WA KIMUNGU- PRAY
FIRST THEN SEE
Yaani OMBA kwanza ndipo UONE
2. MFUMO WA KIBINADAMU-SEE
FIRST THEN PRAY
Yaani ONA kwanza ndipo UOMBE
Yaani ONA kwanza ndipo UOMBE
KWA MUJIBU WA KITABU CHA
MITHALI 19;14
PIA MHUBIRI 6:9" Heri
kuona kwa macho( ya rohoni) kuliko kutangatanga kwa tamaa( macho ya
mwilini)...."
KUMBUKA; MKE AU MUME YEYOTE
ANAWEZA KUKUFANYA UZAE NAE WATOTO LAKINI SI MKE AMA MUME YEYOTE ANAWEZA
KUKUFANYA ULITIMIZE KUSUDI LA MUNGU
ALICHOKITANGULIZA MUNGU KWA
ADAMU SIO SUALA LA MKE BALI SUALA LA MSAIDIZI TENA WA KUFANANA NAYE
UKIWA NA KATIBU/ MSAIDIZI
AMBAYE HANA UFAHAMU AMA ELIMU YA KAZI / UNACHOKIFANYA SI UTAKUWA NI SAWA NA
HUNA KATIBU,,,,???
MBUNGE AKIWA NA KATIBU
ASIYEJUA MAMBO YA SERA AU SIASA N.K AKAWA YEYE NI DAKTARI BINGWA WA WATOTO,,
MAMBO YATAENDA????
NDIYO MAANA NI MUHIMU SANA
MUNGU KUAMUA KATIKA SUALA HILO AANDAE MWENYEWE MSAIDIZI WAKO MAANA MUNGU NDIYE
ANAJUA KUSUDI GANI LA WEWE KUISHI DUNIANI NA AKUPE MSAIDIZI WA AINA GANI
WEWE PIGA TU USINGIZI MZITO MWAYA
Sugua Goti kwa namna ya
rohoni uone halisi kuwa
NYAMA NA MIFUPA YAKO
ILIYOTOLEWA NA BWANA MUNGU KAIPACHIKA KWA NANI??? (YAANI MUME/MKE WAKO)
MSICHANA,,, USIBAKI
KUJIPITISHA PITISHA KWA WANAUME,,, UTAZAA NA WENGI ROHONI KAA MAGOTINI
NA WEWE MKAKA
SIJAKUSAHAU,,,,,,USIBAKI KUITA WADADA WA WATU KAMA MBWA ETI,,,
PSSSSSSSS...!!!!UTABEBESHA MIMBA WENGI ZA ROHONI
TULIENI MAGOTINI VIJANA,,,
NA KUOMBA KWA ROHO,,, MBONA UTAPATA TU MREMBO/HANDSOME MZURI TUU MWEEE
MUNGU NA ASHIKE HATAMU
KWENYE MAISHA YAKO
Na wale Msiooa na kuolewa
KEMEENI SANA maroho mume au maroho mke( SPIRITUAL HUSBAND NA SPIRITUAL WIFE)
KUNA WATU WAKIKUTAZAMA WANAKUONA UMEOA AU UMEOLEWA
Nikusimulie kisaaa....🙇🏻🙇🏻🙇🏻
Kuna mtu amewahi sema
Mtumishi niombee kila nikiomba mchumba naonyeshwa mke wa mtu hivi ni nini hii
na nifanyeje hapo
Baada ya maombi ikaonekana
ni jini mahaba kwa huyo mwana mke ndilo limemuoa,,, kumfuatilia huyo mwanamke
kumbe maskiniiii,,,, hata hana hata mchumba wala hajawahi olewa,,,, then
ukafuata ukombozi wa kiroho,,,, na kumbe huyo mwanamke kiroho alikuwa kaolewa
na majini na kazaa nao watoto kadhaa,,, na usiku anaoneshwa mara anazini na
wanaume wengi mara ananyonyesha n.k
MWAMBIE MUNGU NIKOMBOE NA
HII ROHO KATIKA JINA LA YESU,,, NIFANYE KUWA SINGLE PEKEE SIO SINGLE MARRIED
Na mwalimu NICKOS KIPANGULA 0757350527.
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni