0

 Wakristo wafanya harambee kujenga msikiti

Wakristo wa kijiji cha Namayiga nchini Uganda wameamua kuchanga pesa kusaidia wenzao wa dini ya Kiislamu kupata mahali pa kuabudu. Hizo ni juhudi za kuleta maendeleo bila kujali tofauti za dini.
Bofya hapa kwa habari zaidi ===>http://www.dw.com/sw/uganda-wakristo-wafanya-harambee-kujenga-msikiti/a-19218095

Chapisha Maoni

 
Top