
Lakini akiwa bado mdogo alijisikia wito kwa nguvu ndani ya moyo wake , lakini ilibidi aweze kuwa na malumbano ndani ya familia. Baada ya kutaka kujua vema Italia, alikwenda Venezia , mahali amabapo aliweza kukamilisha ndoto yake kwani alipokelewa na Shirika la Wadomenikani, walio kuwa wainjilishaji na kuvaa nguo ya kitawa tarehe 12 Agosti 1668 na kubadili jina la Nugu Vincenzo Maria. Alipata daraja la upadirisho tarehe 24 Februari 1671 na tarehe 22 Februari 1672 akiwa karibu na miaka 22 Papa Clementi XI akamteua kuwa Kardinali.Kwa miaka iliyo fuatia alichukua wadhifa wa kuwa Rais wa Baraza la kipapa la Maridhiano, na kuwa mmojawapo wa baraza mengi hadi alipo changuliwa kwenda kwenye Jimbo Kuu la Manfredonia tarehe 28 Januari 1675 kuwa Askofu Mkuu wa kanisa hilo.
Tarehe 7 Machi 1724 Papa Incocenzo XIII akaga dunia,ndipo wakachangua mfuasi wake ambapo ilihuka muda wa miezi mitatu, Kabla ua Kardinali Vincenzo Maria Orsini akubalia kubadilisja jina lake , na akachaguliwa tarehe 29 Mei 1724.Lakini pamoja na hayo ilibidi kwa nguvu zote abadili hilo jina na ndiyo akachangua jina la Benedikto wa XIII.Kitendo cha kuchaguliwa kuwa papa , akikifanya abadilishe tabia yake aliyokuwa nayo ya kuhudumia kwa unyenyekevu, ubatili wa kiulimwebgu , na hasa zaidi alipendelea wanyonge masikini. Alipunguza hata idadi ya walinzi wake aliokuwa wakimsindikiza kila mara alipotoka na kwenda na kundi dogo wali kuwa wakimsindikiza.Alijishughulisha katika masuala ya kijamii , na hata kwa ajili ya utetezi wa hali halisi ya maisha ya wafungwa m ujenzi wa hiospitali . Pia aliitisha mwaka wa Jubilei 1725 amabapo ilikuwa ni miaka mingi tangu kipindi cha Papa Innocent wa III. Tarehe 21 Februari 1930 akiwa na umri wa miaka 81 , Papa Benedikto wa XIII akaaga dunia. Masalia yake yaliondolewa katika kanisa la Mtakatifu Maria Sopra Minerva tarehe 22 Februari 1733 na kwa sasa yako katika Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican.
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni