0
Ni audio CD nzuri sana iliyo andaliwa na kijana
Stephano Ngunzwa
katika studio za RAJO PRODUCTIONS chini ya
 Mkurugenzi/mtayarishaji Ray Ufunguo.



1.Cd hii imeandaliwa kwa kiwango cha juu sana
2.Imeimbwa vizuri,uimbaji wa kisasa.
3.Haichoshi kuskiliza.
4.Inanyimbo zenye hadhi,dhamira na mapigo tofauti.
5.Kinanda na mixing zmefanywa vizuri mno.
Tafadhari kama wasiliana kwa kupitia namba hizi:
0655-411477 au 0762-380376


Chapisha Maoni

 
Top