1. Shemasi ANTIPAS KILASARA, Mwana wa Francis August na Epifania Calist wa Parokia ya Maua.
2. Shemasi STEPHEN NDEANKA, Mwana wa Joseph Anthony na Anastazia Alekalo wa Parokia ya Ntirini.
3. Shemasi LEODEGARD ZAWADI, Mwana wa Evance Katiti na Mariarosa Venance wa Parokia ya Kimanyatu.
4. Shemasi BONIFACE MSARIE, Mwana wa Elias Selekio na Irene Richard wa Parokia ya Ntirini.
5. Shemasi RICHARD MARUNDA, Mwana wa Joseph Lucas na Albina Simon wa Parokia ya Mailisita.
6. Shemasi JEREMIAH BAHATI, Mwana wa Peter Kea na Mariasalome Peter wa Parokia ya Kirima.
7. Shemasi EVARIST MAKORIA, Mwana wa Leopold Mlingi na Emersiana Ismaili wa Parokia ya Mkuu.
8. Shemasi THOMAS RIZIKI, Mwana wa Wilbad John na Katarina Arthur wa Parokia ya Kibosho.
9. Shemasi ONESMO AIKARUWA, Mwana wa Thomas Boniface na Sofia Tumbo wa Parokia ya Chekereni.
10. Shemasi PETER MOSHA, Mwana wa Sabas Joseph na Niseta Peter wa Parokia ya Mengwe.
11. Shemasi JOHN EUDES, Mwana wa Corneli Gothad na Florentina Evarist wa Parokia ya Mahida.
12. Shemasi MELCHIZEDECK LAKWIYA, Mwana wa Thomasi Saitabau na Joyce Ndubulai wa Parokia ya Sabuko.
13. Shemasi TITUS TARIMO (OFM Cap), Mwana wa Bonaventura Tarimo na Maria Massawe wa Parokia ya Usseri.
14. Shemasi CHRISPIN SHIRIMA (OFM Cap), Mwana wa Thomas Shirima na Bernadina Mkahindia.
15. Shemasi JOHN MCHOMBA (Wa jimbo la Zanzibar), Mwana wa Lucas Gabriel na Aurelia Mkasalia wa Parokia ya Tarakea.
16. Shemasi RICHARD HAKI (Wa jimbo la Zanzibar), Mwana wa Stanslaus Kyalema na Fausta Ndelango wa Parokia ya Karmeli.
17. Shemasi KANUTI SHABANI (OSS), Mwana wa Patriki Samadi na Irenea Mamkwe wa Parokia ya Usseri.
18. Shemasi LAURENT LUKUBO (OSS), Mwana wa Thomasi Kimulimuli na Theresia Michael wa Parokia ya Sanya juu.
•Kwa Mujibu wa Sheria za Kanisa (CANON LAW) nambari 1051#2, Maparoko wao husika pamoja na mapadre wengine wanapaswa kutangaza tangazo hili kwa jumapili tatu mfululizo.
•Hivyo Taarifa hizi zinapaswa kusomwa katika parokia na vigango vyote jimboni tarehe 22 May 2016, 29 May 2016 na 05 June 2016.
•Kwa vyovyote vile, (ziwe hasi au ziwe chanya), Maparoko husika wanapaswa kuwasilisha katika Ofisi ya Askofu wa Jimbo Katoliki la Moshi marejeo na taarifa watakazopata baada ya Matangazo hayo kabla ya tarehe 08 June 2016.
Wenu Katika Kristo,
+ Isaac Aman
Askofu wa Jimbo Katoliki Moshi.
+ Isaac Aman
Askofu wa Jimbo Katoliki Moshi.
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni