Baraza la Mitihani la Taifa – NECTA limetangaza matokeo ya Kidato cha Sita mwaka 2016 na matokeo ya mitihani ya Ualimu daraja la cheti na Diploma mwaka 2016
Form 6
Teachers
Akitangaza matokeo hayo Jijini DSM, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa – NECTA, Dkt. CHARLES MSONDE amesema ufaulu kimasomo mwaka huu umeshuka kidogo kwa asilimia 0.93 ikilinganishwa na mwaka jana, ambapo ufaulu ulikuwa kwa asilimia 98.87 na mwaka huu ufaulu ni asilimia 97.94.
Dkt. MSONDE amesema watahiniwa ISHIRINI NA WATANO wa kidato cha sita wamefutiwa matokeo yao kutokana na udanganyifu wa kutumia simu za mkononi katika vyumba vya mitihani, huku mtahiniwa mmoja wa Ualimu daraja la cheti akifutiwa matokeo yake kwa udanganyifu.
Bofya hapaForm 6
Teachers
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni