0
MWENYEKITI wa idara ya Liturujia Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania Askofu Salutaris Libena akimkabidhi Misale ya Altare Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa. Makabidhiano hayo yamefanyika makao makuu ya TEC Kurasini jijini Dar es Salaam.



chanzo cha  habari ni http://tec1956.blogspot.com/

Chapisha Maoni

 
Top