0
Jumamosi 17 Desemba ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Baba Mtakatifu Francisco atafikisha miaka 80 ya kuzaliwa .
Saa mbili asubuhi  ya siku hiyo ,katika Kanisa  dogo Paolina , Baba Mtakatifu ataadhimisha  ibada ya misa Takatifu  akiwa na Makardinali wanaoishi Roma.

Kwa upande wa baba Mtakatifu siku hiyo itakuwa kama kawaida , iliyo jaa shughuli za kichungaji, kwani ratiba yake atampokea Rais wa Jamhuri ya Kisiwa cha Malta , Katibu wa  kiongozi wa Baraza la Maaskofu , Askofu wa Chur huko Uswis , na Jumuiya ya Nomadelfia.
Kwa yeyote anayetaka kutuma ujumbe wa kumpa heri Baba Mtakatifu anaweza kutumia  barua pepe kwa lugha mbalimbali…
Papafranciscus80@vatican.va    (Latino) PapaFrancesco80@vatican.va    (Italian) 
PapaFrancisco80@vatican.va     (Spanish / Portoghese) PopeFrancis80@vatican.va    (English)
PapeFrancois80@vatican.va    (French) PapstFranziskus80@vatican.va    (German)
PapiezFranciszek80@vatican.va    (Polish)

Chapisha Maoni

 
Top