Viongozi wa makanisa hapa nchini wametakiwa kuwa na umoja ili kujenga umoja wa makanisa utakaomfanya Kristo ahubiriwe kila mahali kwa ukombozi wa watu wote .
Hayo yamesemwa na Askofu John Mwakyusa wa Kanisa la FPTC, Jimbo la Tanga hivi karibuni katika mahubiri yake.
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni