Inahitaji ujasiri ili kufanya ufalme wa Mungu ukue, yaani wa kutupa mbegu ya aradali na kuchanganya chachu. Lakini mara nyingi wapo wachungaji wanaotaka kuhifadhi badala ya kupanda hiyo mbegu ili ikue. Ni maneno ya Baba Mtakatifu Francisko waka… Soma zaidi »
PAROKIA MPYA YAZINDULIWA JIMBO KUU KATOLIKI DODOMA
KATIKA safari ya kueneza Injili kwa watu wote hapa duniani, Jimbo Kuu Katoliki Dodoma limepata Parokia mpya ya Pwaga iliyozinduliwa hivi karibuni na Askofu Mkuu wa Jimbo hilo Mhashamu Beatus Kinyaiya OFM-Capp. Akizindua p… Soma zaidi »
RATIBA YA BABA MTAKATIFU MWISHONI MWA MWAKA HUU 2017
Ziara ya Kitume nchini Chile na Peru kuanzia tarehe 15 -22 Januari 2018, Misa ya tarehe 2 Novemba katika Makaburi ya waamerika Nettuno na Siku ya Masikini Duniani tarehe 19 Novemba katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro. Ni baadhi ya matukio kati… Soma zaidi »
Maaskofu Katoliki wataka hukumu ya kifo itazamwe upya
Jubilei ya Miaka 50 ya Parokia ya Manyoni, Jimbo Katoliki Singida
Askofu Edward Mapunda wa Jimbo Katoliki Singida, kuanzia tarehe 19 Oktoba hadi tarehe 21 Oktoba 2017, Kumbu kumbu ya Mtakatifu Gaspar del Bufalo mwanzilishi wa Shirika la Wamisionari wa Damu Azizi ya Yesu, atakuwa na ziara ya kichungaji Parokia … Soma zaidi »
SHUSHA BARAKA
MKWAWA UNIVERSITY-IRINGA Karibu utazame wimbo mpya toka kwaya ya Mt.Bernadetha(Mkwawa University College of education -IRINGA) Click/bofya hapa chini kuutazama. https://youtu.be/THtXuOddna8 … Soma zaidi »