Hot Post
JAMII
- WAZAZI WAWE MAKINI NA VIPINDI VYA LUNINGA KWA WATOTO12 Jan 2018Maoni
Na Angela Kibwana, Morogoro ASKOFU wa Jimbo Katoliki Morogoro Mhashamu Telesphor Mkude amewaonya baadhi ya wazazi wenye tabia ya kuwaacha watoto ...
- Kardinali Pengo: Jitahidini kutekeleza mapenzi ya Mungu katika maisha12 Jan 2018Maoni
Yamekuwa ni mapokeo kwa Kardinali Polycarp Pengo, Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Dar es Salaam kutoa Daraja Takatifu ya Ushemasi kwa Majandokasisi wa ...
- Ujumbe wa Papa kwa njia ya Video:Tuombee Parokia zetu zifungue milango wazi02 Sep 2017Maoni
Kila mwezi Baba Mtakatifu Francisko anatoa ujumbe kwa nia ya mwezi kwa njia ya Video ambapo katika mwezi wa tisa mwaka huu nia...
- Serikali ya Tanzania ina thamini mchango wa watawa katika huduma!30 Aug 2017Maoni
Shirikisho la Mashirika ya Watawa wa Kike Afrika Mashariki na Kati, ACWECA, kuanzia tarehe 26 Agosti hadi tarehe 2 Septemba 2017, linafanya mkutano wa...
- MKUTANO MKUU WA 17 WA SHIRIKISHO LA MASISTA WAKATO...30 Aug 2017Maoni
ht BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA: MKUTANO MKUU WA 17 WA SHIRIKISHO LA MASISTA WAKATO...: Na Pascal Mwanache Mkutano huo umefunguliwa Ago...
- Siku ya Kuombea Viumbe Hai Duniani kwa Mwaka 201730 Aug 2017Maoni
Baba Mtakatifu Francisko alitangaza tarehe 1 Septemba ya kila mwaka kuwa ni Siku ya Kuombea Viumbe Hai Duniani, kwa upande wa Kanisa la Kiorthodox, t...
- KARDINALI PENGO AKABIDHI MRADI WA KISIMA KWA SERIKALI27 Aug 2017Maoni
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amemkabidhi Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na...
- waliochaguliwa kujiunga kidato cha 5 na vyuo vya ufundi-201709 Jun 2017Maoni
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha Tano Mwaka 2017
- Maaskofu wa Kenya wanashutumu uchoyo na ubaguzi wa wanasiasa!09 May 2017Maoni
Ukosefu wa uwezo uliooneshwa na wingi vya vyama vya kisiasa katika uchaguzi wa hawali ,umeonesha jinsi gani mfumo wa Kisiasa nchini Kenya ulivyo mdha...
- Himizeni watoto wasome seminari” mapadri waaswa05 May 2017Maoni
ASKOFU wa jimbo Katoliki Kahama, Mhashamu Ludovick Minde amewataka mapadri kuhakikisha wanawasaidia watoto kutoka kila parokia wajiunge katika s...
KWAYA
- SHUSHA BARAKA29 Oct 2017Maoni
MKWAWA UNIVERSITY-IRINGA Karibu utazame wimbo mpya toka kwaya ya Mt.Bernadetha(Mkwawa University College of education -IRINGA) Click/...
- NINA HAJA NAWE Kwaya ya Mt. Yohane Paulo wa 2- Jordan University College...27 Aug 2017Maoni
Huu ni moja ya wimbo uliopo katika Album ya 3 iitwao "OLE WAO"Wimbo huu unaitwa NINA HAJA NAWE umeimbwa na Kwaya ya Mt. Yohane Paulo wa...
MAFUNDISHO
- Maaskofu watoa ujumbe wa Kwaresima 20111 Feb 2018Maoni
MAASKOFU 35 wanaounda Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania wametoa ujumbe wa Kwaresima kwa 2018, huku wakiwataka waamini wakatoliki wote kuuitik...
- MAPADRI HESHIMUNI SADAKA ZA WAAMINI12 Jan 2018Maoni
PAROKO wa Parokia ya Bikira Maria wa Mlima Kalmeli jimboni Morogoro Padri Vivian Menezes, amewaasa mapadri nchini kushika njia ya utakatifu na kutham...
- WAZAZI WAWE MAKINI NA VIPINDI VYA LUNINGA KWA WATOTO12 Jan 2018Maoni
Na Angela Kibwana, Morogoro ASKOFU wa Jimbo Katoliki Morogoro Mhashamu Telesphor Mkude amewaonya baadhi ya wazazi wenye tabia ya kuwaacha watoto ...
- Kardinali Pengo: Jitahidini kutekeleza mapenzi ya Mungu katika maisha12 Jan 2018Maoni
Yamekuwa ni mapokeo kwa Kardinali Polycarp Pengo, Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Dar es Salaam kutoa Daraja Takatifu ya Ushemasi kwa Majandokasisi wa ...
- 20 Nov 2017Maoni
Tabia ya Baba Mtakatifu katika mawasiliano daima ni nyepesi, mtazamo na ishara zake ndiyo mtindo wake. Ni maneno ya Monsinyo Dario Vigano’ Mwenyek...
MATANGAZO
- SHUSHA BARAKA29 Oct 2017Maoni
MKWAWA UNIVERSITY-IRINGA Karibu utazame wimbo mpya toka kwaya ya Mt.Bernadetha(Mkwawa University College of education -IRINGA) Click/...
- NINA HAJA NAWE Kwaya ya Mt. Yohane Paulo wa 2- Jordan University College...27 Aug 2017Maoni
Huu ni moja ya wimbo uliopo katika Album ya 3 iitwao "OLE WAO"Wimbo huu unaitwa NINA HAJA NAWE umeimbwa na Kwaya ya Mt. Yohane Paulo wa...
Maaskofu watoa ujumbe wa Kwaresima 201
MAASKOFU 35 wanaounda Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania wametoa ujumbe wa Kwaresima kwa 2018, huku wakiwataka waamini wakatoliki wote kuuitikia ujumbe huo kwa moyo wa toba, mageuzi na kushiriki kwa kujitoa zaidi katika uinjilishaji wa nchi kama m… Soma zaidi »
MAPADRI HESHIMUNI SADAKA ZA WAAMINI
PAROKO wa Parokia ya Bikira Maria wa Mlima Kalmeli jimboni Morogoro Padri Vivian Menezes, amewaasa mapadri nchini kushika njia ya utakatifu na kuthamini masakramenti ya Kanisa ikiwa ni pamoja na kuadhimisha misa takatifu ili kuokoa waamini wenye kiu… Soma zaidi »
WAZAZI WAWE MAKINI NA VIPINDI VYA LUNINGA KWA WATOTO
Kwa msaada wa Roho Mtakatifu, Liturujia iwe ni shule ya sala!
Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli. Huu ni utangulizi wa Neno la Mungu kwenye Katekesi iliyotolewa na Baba Mtakatofu Francisko, Jumatano, tare… Soma zaidi »
Kardinali Pengo: Jitahidini kutekeleza mapenzi ya Mungu katika maisha
Yamekuwa ni mapokeo kwa Kardinali Polycarp Pengo, Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Dar es Salaam kutoa Daraja Takatifu ya Ushemasi kwa Majandokasisi wa Jimbo lake wakati wa maadhimisho ya Sherehe ya Tokeo la Bwana inayoadhimishwa na Mama Kanisa kila … Soma zaidi »