1.Mavazi “MEUPE”
WIMBO MWANZO “Asifiwe Mungu Baba,atukuzwe Mungu
mwana,ahimidiwe Mungu Roho Mtakataifu…….”
SOMO 1: MIT 8:22-31
WIMBO KTK “Wewe Bwana Mungu wetu,jinsi lilivyo tukufu jina
lako Dunia pote…….”
SOMO 2: WARUMI 5:1-5
SHANGILIO “Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu
Mungu ambaye yupo,aliyekuwapo na atakayekuja”
INJILI: YOHANE 16:12-15
Kwa nyimbo za Domninika hiyo pakua hapa
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni