Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha Tano Mwaka 2017… Soma zaidi »
ASKOFU MINDE AWAASA WAZAZI KUCHOCHEA MAADILI
Wazazi wamehimizwa kuchochea maadili kwa watoto katika kipindi hiki ili waweze kuishi maisha yanayompendeza Mungu na jamii kwa ujumla kwani bila hivyo kuutafuta ufalme wa mbingu haitawezekana. … Soma zaidi »
Sala kwa ajili ya kuombea amani Mashariki ya Kati ni muhimu sana!
Baba Mtakatifu Francisko wakati wa Katekesi yake, Jumatano tarehe 7 Juni 2017 kwenye Uwanja wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican amewaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kuwa ni mashuhuda na vyombo vya huruma ya Mungu kwa … Soma zaidi »
Ujumbe wa Papa Francisko kwa Siku ya 91 ya Kimissionari Duniani 2017
WATAWA WAEPUKE UBINAFSI-ASKOFU CHENGULA
ASKOFU wa Jimbo Katoliki Mbeya Mhashamu Evarist Chengula amewapongeza wajubilanti 6 kwa kutimiza miaka 25 ya nadhiri ya utawa huku akibainisha kwamba hiyo siyo kazi rahisi kwa mapenzi yao bali wanapaswa kumshukuru Mwenyezi Mungu na kuendelea ku… Soma zaidi »
Fumbo la Utatu Mtakatifu kiini cha imani ya Kanisa!
Kwa Jina la Baba na la Mwana na Roho Mtakatifu Amina. Imani yetu imejengwa katika msingi huu: Tunaamini katika Mungu mmoja aliye katika nafsi tatu, yaani Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu. Kanisa linatufundisha kwamba mgawayiko huu wa … Soma zaidi »
HOFU YA MAISHA, CHANZO CHA WASOMI KUFELI
KATIBU Mkuu wa Jimbo Katoliki Morogoro Padri Luitfrid Makseyo amewaasa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini kuondokana na hofu na mashaka ya maisha katika nafsi zao ili waweze kufanya vizuri katika mitihani yao hatimaye waje kulitumikia vyema taifa. … Soma zaidi »