Baba Mtakatifu Francisko , amewaataka Wakristo kuwa na huruma, kama Bwana wao alivyo na huruma kwao. Ametaja kwamba, hiyo ni njia nzuri z...
Papa akemea mauaji ya kutumia jina la Mungu kwamba ni mauaji ya kishetani.
Mapema Jumatan 14 Septemba 2016, akiongoza Ibada ya Misa ndani ya Kanisa Kanisa dogo la Mtakatifu Marta, Vatican, Baba Mtakatifu Francisko...
ELIMU IWE CHOMBO CHA KUMKOMBOA MWANADAMU
ASKOFU wa Jimbo Katoliki Iringa Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa amesema kuwa, elimu ni chombo cha ukombozi kwa mwanadamu na iwapo ataikosa ...
Kardinali Parolin aongoza Ibada ya Misa ya Shukurani kwa ajili ya Mtakatifu Mama Tereza
(Vatican Radio) Jumatatu hii majira ya saa nne za asubuhi, katika Uwanja wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro, Kardinali Pietro Parolin, Katibu...
Papa: Mtakatifu Mama Tereza ni mwanga unaomulikia wengi walio gizani
Jumapili 4 Septemba 2016 , Papa Francisko alimtangaza Mama Tereza wa Calcutta, kuwa Mtakatifu , anayemulikia wengi walio katika giza la ma...
MAMA TERESA WA KALKUTA NI MTAKATIFU
Baba Mtakatifu Fransisko, siku ya Dominika tarehe 4 Sept 2016, katika ibada aliyoiongoza katika viwanja vya Basilika la Mt. Petro, Vatican,...
Papa : ni wajibu kwa binadamu kutunza viumbe
Tarehe Mosi Septemba, ambamo Mama Kanisa alifanya Maombi ya Kiekumeni kwa ajili ya Utunzaji wa Viumbe, Baba Mtakatifu Francisko alitoa uju...
Kongamano la Wadomenikani juu ya haki za binadamu
Ijumaa 02.09.2016, Wadomenikani walifungua Kongamano lao la VII, kama sehemu ya mwendelezo wa Mradi wao wa Salamanca , wenye kujumuisha vio...