09Jul2017
Julai 2017
09Jul2017
MASOMO YA MISA, DOMINIKA YA 14 YA MWAKA
MASOMO YA MISA, DOMINIKA YA 14 YA MWAKA
SOMO 1Zek. 9:9-10Furahi sana, Ee binti Sayuni; Piga kelele, Ee binti Yerusalemu; Ni mwenye haki, naye ana wokovu; Ni mnyenyekevu, amepanda punda, Naam, mwana-punda, mtoto wa punda.Na gari la vita nitaliondoa liwe mbali na Efraimu, na farasi awe mbal… Soma zaidi »
09Jul2017
Jengeni utamaduni wa Ibada kwa Moyo Mtakatifu wa Yesu!
Jengeni utamaduni wa Ibada kwa Moyo Mtakatifu wa Yesu!
Sherehe ya Moyo Mtakatifu wa Yesu imetengwa na Mama Kanisa kwa ajili ya kuombea wongofu na utakatifu wa maisha na wito wa Kipadre kwani kimsingi Mapadre ni vyombo na mashuhuda wa huruma na upendo wa Mungu kwa waja wake! Hivyo basi, wanapaswa kupenda… Soma zaidi »
09Jul2017
Yesu Kristo anakupenda jinsi ulivyo anataka ushiriki utume wake!
Yesu Kristo anakupenda jinsi ulivyo anataka ushiriki utume wake!
Baba Mtakatifu Francisko, Ijumaa tarehe 7 Julai 2017 ameadhimisha Ibada ya Misa Takatifu kwa ajili ya wafanyakazi wa Kituo cha Viwanda mjini Vatican pamoja na kumwombea Marehemu Luigi Mariotti, Baba yake na Bwana Sandro Mariotti, mmoja ya wasaidizi … Soma zaidi »
09Jul2017
Mchakato wa kuwatangaza wenyeheri na watakatifu: ukweli na uwazi!
Mchakato wa kuwatangaza wenyeheri na watakatifu: ukweli na uwazi!
Baba Mtakatifu Francisko baada ya kuridhia sheria mpya kuhusu taratibu za kuwatangaza waamini kuwa wenyeheri na watakatifu anasema, zoezi hili ni kwa ajili ya mafao ya wengi linapaswa kuongozwa na kanuni za ukweli na uwazi; gharama nafuu katika mcha… Soma zaidi »
09Jul2017
Yaliyojiri katika mahojiano kati ya Bw. Scalfari na Papa Francisko
Yaliyojiri katika mahojiano kati ya Bw. Scalfari na Papa Francisko
Baba Mtakatifu Francisko anawataka viongozi wa Jumuiya ya Kimataifa kuguswa na mahangaiko ya mamilioni ya watu wanaoteseka kwa baa la njaa na utapiamlo wa kutisha; ukame na majanga asilia; watu wanaoendelea kutumbukia katika umaskini kutokana na vi… Soma zaidi »
09Jul2017
Hija ya Papa Francisko inapania kupyaisha maisha ya watu wa Colombia
Hija ya Papa Francisko inapania kupyaisha maisha ya watu wa Colombia
Baba Mtakatifu Francisko anatarajiwa kutembelea nchini Colombia kuanzia tarehe 6 – 11 Septemba 2017 kama sehemu ya mchakato wa kuenzi maridhiano, haki na amani, baada ya Colombia kuwa katika mapigano kwa muda mrefu. Hija hii ya kitume nchini humo in… Soma zaidi »
09Jul2017
VIONGOZI WA KIDINI WATAKIWA KUSHIRIKIANA
VIONGOZI WA KIDINI WATAKIWA KUSHIRIKIANA
Viongozi wa makanisa hapa nchini wametakiwa kuwa na umoja ili kujenga umoja wa makanisa utakaomfanya Kristo ahubiriwe kila mahali kwa ukombozi wa watu wote . Hayo yamesemwa na Askofu John Mwakyusa wa Kanisa la FPTC, Jimbo la … Soma zaidi »
09Jul2017
KARISMATIKI WAPEWA ANGALIZO
KARISMATIKI WAPEWA ANGALIZO
WAAMINI wakatoliki wa Chama cha kitume cha Karismatiki wameshauriwa kuacha kuweka masharti kwa wahitaji wenye shida mbalimbali ambao wanawafanyia maombi ya uponyaji sanjari na malipo ya aina yeyote na badala yake waendelee kutoa huduma k… Soma zaidi »
09Jul2017
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)