MASOMO YA MISA JUMAPILI, AGOSTI 7, 2016 DOMINIKA YA 19 YA MWAKA
SOMO 1 Hek 18: 6-9 Usiku ule baba zetu walitangulia kuonywa, ili wakiwa na ufahamu hakika, wafurahishwe na viapo walivyovitegemea; kwa hi...
Sherehe ya kung'ara Bwana na Kashfa ya Msalaba!
Mama Kanisa kila mwaka ifikapo tarehe 6 Agosti anaadhimisha Sherehe ya Kung’ara kwa Bwana, kielelezo cha utimilifu wa Sheria na Unabii unaof...
Dunia ina kiu ya msamaha!
Maadhimisho ya Jubilei ya miaka 800 ya Msamaha wa Assisi ni tukio ambalo linawakumbusha waamini nia thabiti ya Mtakatifu Francisko wa Assi...
Papa aunda tume kushughulia Ushemasi wa Wanawake Ndani ya Kanisa
Baba Mtakatifu Francisko baada ya kusali na kutafakari kwa kina kuhusu Ushemasi wa wanawake ndani ya Kanisa Katoliki baada ya kukutana na ...
Papa achonga na waandishi wa habari na kueleza jinsi alivyoanguka!
Baba Mtakatifu Francisko wakati akirejea kutoka Poland kwenye maadhimisho ya Siku ya XXXI Vijana Duniani kwa Mwaka 2016, Jumapili tarehe 31 ...
Vijana pambaneni na maisha na wala msikate tamaa!
aba Mtakatifu Francisko kabla ya Ibada ya Misa Takatifu kwa ajili ya kufunga maadhimisho ya Siku ya XXXI ya Vijana Duniani, Jumapili tarehe ...
WAKRISTO NA WAISLAMU WALAANI UGAIDI
Kutoka Italia na Ufaransa.Siku ya Jumapili nchini Italia Waislamu na Wakristu wameweza kujumuika kwa pamoja na Kusali katika parokia mb......






