Askofu Ndorobo: Wazazi zingatieni sala za familia
ASKofu wa Jimbo Katoliki Mahenge Mhasham Agipiti Ndorobo, amewataka wazazi kusisitiza sala za pamoja ndani ya familia ili kujenga msingi...
Baba Mtakatifu Francisko amekutana na Wasanii wa mitaani Vatican
Anawakaribisha ndugu wote wanachama kutoka dunia nzima wa makundi ya wasanii wa maonyesho ya mitaani, wawakilishi wote wa Chama cha kitai...
Barua Binafsi kuhusu: Mwendelezo wa Mageuzi ya Maisha ya Liturujia
Baba Mtakatifu Francisko kama sehemu ya mwendelezo wa mchakato wa mageuzi ya Kiliturujia yaliyoanzishwa na Mababa wa Mtaguso mkuu wa Pili wa...
Tafsiri ya vitabu vya Liturujia ya Kanisa lazima vithibitishwe kwanza
Askofu mkuu Athur Roche, Katibu mkuu wa Baraza la Kipapa la Ibada na Nidhamu ya Sakramenti za Kanisa anasema kwamba, Barua binafsi ya Baba M...
MASOMO YA MISA, JUMAPILI, SEPTEMBA 10, 2017 JUMA LA 23 LA MWAKA
______ MWANZO Zab. 119:137, 124 Ee Bwana, wewe ndiwe mwenye haki, na hukumu zako ni za adili. Kama zilivyo rehema zako umtendee mtumis...
Kifo cha Kard. C Murphy-O'Connor, Ask.Mkuu mstaafu wa Westminster na Galles Uingereza
Baba Mtakatifu Francisko ameonesha huzuni mkubwa kwa kifo cha Kardinali Cormac Murphy-O'Connor, Askofu Mkuu mstaafu wa Westminster ki...