Tabia ya Baba Mtakatifu katika mawasiliano daima ni nyepesi, mtazamo na ishara zake ndiyo mtindo wake. Ni maneno ya Monsinyo Dario Vigano’ Mwenyekiti wa Sekretarieti ya Mawasiliano Vatican wakati wa kuwasilisha Toleo Jipya la Kitabu kinacho elez… Soma zaidi »
Tusikunje mikono yetu,tuwajibike na kuwafungulia maskini!
Tunayo furaha kubwa ya kuumega mkate wa Neno na baadaye utamegwa na kuupokea mkate wa Ekaristi, kirutubisho cha safari ya maisha. Na ni furaha kwa wote kwani hakuna asiye hitaji maana wote ni waombaji wa jambo muhimu la upendo wa Mungu anayetoa… Soma zaidi »
Papa:Tumsifu Mungu anayetoa zawadi ya wito bila kuuondoa kamwe!
Baba Mt.amemteua Padre Jean-Patick Iba-Ba kuwa Askofu mpya wa Francaville
Baba Mtakatifu amemteua Askofu mpya wa Jimbo la Franceville nchini Gabon, Padre Jean-Patick Iba-Ba, ambaye hadi uteuzi huo alikuwa ni Gombera wa Seminari Kuu ya Kitaifa ya Mtakatifu Augustin” huko Libreville Gabon. Padre Jean-Patick Iba-Ba, al… Soma zaidi »
WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI WAOMBEWA NA PAPA FRANSISKO
Hapo jana (Ijumaa tarehe 3 Novemba), Baba Mtakatifu Fransisko ameadhimisha misa Takatifu kwa ajili ya kuwaombea marehemu wote makardinali na Maaskofu waliokufa kwa kipindi cha mwaka huu. Katika mahubiri yake anasema, kwa mara nyingine tena Lituru… Soma zaidi »
‘KUTOSALI ROZARI NI KUKOSA DIRA’
Papa:Sisi sote ni ndugu hatuna haja ya kujiona bora zaidi ya wengine!
Madaraka yoyote yakitumika vibaya yanaunda ukosefu wa uaminifu na kuleta vizingiti, lakini mitume wa Yesu wanaalikwa kuwa makini na wasijiweke juu ya wengine kwa hali yoyote badala yake watoe huduma. Haya ni maonyo yanayojitokeza katika mahubir… Soma zaidi »
‘Nimesamehe’ Ni baada ya Askofu Mkude kuzushiwa kifo
ASKOFU wa Jimbo Katoliki Morogoro Mhashamu Telesphor Mkude amesema amewasamehe wale wote waliomzushia kifo wakati akiwa nchini India akiendelea kupatiwa matibabu kutokana na maradhi yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu. Askofu Mkude ameyasema hayo … Soma zaidi »
Askofu Castory Msemwa wa Jimbo Katoliki Tunduru- Masasi afariki dunia
Jimbo Katoliki Tunduru Masasi nchini Tanzania linasikitika kumpoteza mpendwa wao Baba Askofu Castory Msemwa aliyefariki tarehe 19 Oktoba 2017, saa 7 mchana nchini Oman. Kwa mujibu wa Makamu wa Askofu wa Jimbo Katoliki Tunduru Masasi, Padri Jord… Soma zaidi »