Kitendawili cha Fumbo la Wito wa Mungu kwa mwanadamu!
Papa Francisko: Ninakuja kuwashirikisha Injili ya matumaini na amani!
Baba Mtakatifu Francisko anafanya hija ya kitume kwenye Madhabahu ya Bikira Maria wa Fatima kuanzia tarehe 12 – 13 Mei 2017. Hija hii inaongozwa na kauli mbiu “Papa Francisko mjini Fatima 2017 pamoja na Bikira Maria kama mahujaji wa matumaini na ama… Soma zaidi »
Bikira Maria ni Mama wa matunaini hata wakati wa giza la kiroho!
Mkimbilieni B. Maria awafunde namna ya kuamini, kuabudu na kupenda!
Maaskofu wa Kenya wanashutumu uchoyo na ubaguzi wa wanasiasa!
Ukosefu wa uwezo uliooneshwa na wingi vya vyama vya kisiasa katika uchaguzi wa hawali ,umeonesha jinsi gani mfumo wa Kisiasa nchini Kenya ulivyo mdhaifu kuelekea Uchaguzi Mkuu mwezi Agosti mwaka huu. … Soma zaidi »
Himizeni watoto wasome seminari” mapadri waaswa
ASKOFU wa jimbo Katoliki Kahama, Mhashamu Ludovick Minde amewataka mapadri kuhakikisha wanawasaidia watoto kutoka kila parokia wajiunge katika seminari ya Ushirombo iliyopo jimboni hapa kwa lengo la kukuza miito ndani ya Kanisa. … Soma zaidi »
Baba Mtakatifu: Msiogope mfumo mpya wa mawasiliano Vatican!
Furaha yangu kubwa kuwakaribisheni katika tukio la mkutano wa kwanza wa mwaka wa Sekretarieti ya Mawasiliano Vatican ambayo inawajibisha kutafakari kwa kina fahamu za pamoja na kuchunguza hatua gani zimepigwa na Baraza hili ambalo nilitaka kufanya… Soma zaidi »
Ujumbe wa Papa Francisko kwa Siku ya 54 ya Kuombea Miito Duniani 2017
Mama Kanisa, Jumapili, tarehe 7 Mei 2017 anaadhimisha Siku ya 54 ya Kuombea Miito Duniani inayoongozwa na kauli mbiu “Tukisukumwa na Roho Mtakatifu kwa ajili ya utume”. Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa ajili ya maadhimisho haya anaku… Soma zaidi »
Papa Francisko kukutana na Rais Donald Trump tarehe 24 Mei 2017
Baba Mtakatifu Francisko, Jumatano tarehe 24 Mei 2017 majira ya saa 2:30 asubuhi kwa saa za Ulaya, anatarajiwa kukutana na kuzungumza na Rais Donald Trump wa Marekani, ambaye baadaye pia atakutana na kuzungumza na Kardinali Pietro Parolin, Katibu mk… Soma zaidi »
Vatican na Myanmar kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia!
Mwenyeheri Leopaldina Naudet!
Kardinali Angelo Amato, Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la kuwatangaza waamini kuwa wenyeheri na watakatifu, Ijumaa, tarehe 28 Aprili 2017 kwa niaba ya Baba Mtakatifu Francisko ameadhimisha Ibada ya Misa takatifu kwa ajili ya kumtangaza Mtumishi wa M… Soma zaidi »