0
Papa Francisko asema kuna haja ya kukuza utamaduni na maagano!
Papa Francisko asema kuna haja ya kukuza utamaduni na maagano!

Baba Mtakatifu Francisko katika hotuba yake kwa washiriki wa mkutano wa majadiliano ya kidini kimataifa mintarafu amani ulioandaliwa na Chuo kikuu cha Al-Azhar cha Cairo nchini Misri, Ijumaa, tarehe 28 Aprili 2018 ameipongeza kwa namna ya pekee, Mis… Soma zaidi »

Soma zaidi »
29Apr2017

0
Nafasi ya Bikira Maria katika mapambano ya maisha ya kiroho!
Nafasi ya Bikira Maria katika mapambano ya maisha ya kiroho!

Wapendwa Mahujaji, tumejumuika leo kuadhimisha siku maalum ya kwenda faraghani na kujitenga na pilika pilika za tume zetu za kila siku na masumbuko ya maisha yetu. Napenda kuwashukuruni kwa kutenga muda wenu wa kutosha kwa ajili ya zoezi hili muhimu… Soma zaidi »

Soma zaidi »
29Apr2017

0
Papa Francisko: Misri ina dhamana ya ujenzi wa amani duniani!
Papa Francisko: Misri ina dhamana ya ujenzi wa amani duniani!

Baba Mtakatifu Francisko akiwa nchini Misri, Ijumaa, tarehe 28 Aprili 2017 amepata nafasi ya kukutana na kuzungumza na viongozi wa Serikali, kisiasa na Mabalozi na wawakishi wa nchi mbali mbali Misri pamoja na viongozi wa kidini. Amekumbuka kwa namn… Soma zaidi »

Soma zaidi »
29Apr2017

0
Papa Francisko: Ni nafasi ya kutafakari: Kifo, Ufufuko na Maisha!
Papa Francisko: Ni nafasi ya kutafakari: Kifo, Ufufuko na Maisha!

Baba Mtakatifu Francisko ameianza Siku yake ya Pili ya hija ya kitume nchini Misri, Jumamosi tarehe 29 Aprili 2017 kwa kuadhimisha Ibada ya Misa Takatifu kwenye Uwanja wa Jeshi la Anga iliyohudhuriwa na umati mkubwa wa familia ya Mungu kutoka Misri.… Soma zaidi »

Soma zaidi »
29Apr2017

0
MASOMO YA MISA,  DOMINIKA YA 3 YA PASAKA
MASOMO YA MISA, DOMINIKA YA 3 YA PASAKA

Soma zaidi »

Soma zaidi »
29Apr2017

0
Upotoshaji wa Padri kuoa watolewa ufafanuzi
Upotoshaji wa Padri kuoa watolewa ufafanuzi

BAADA ya mitandao ya kijamii pamoja na baadhi ya vyombo mbalimbali vya habari kupotosha kuwa Kanisa Katoliki limemfungisha ndoa padri wake, imefafanuliwa kuwa, Padri akiomba kuondolewa upadri wake anaruhusiwa kuoa. Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki … Soma zaidi »

Soma zaidi »
29Apr2017

0
Askofu Mkude aiasa jamii kujitegemea
Askofu Mkude aiasa jamii kujitegemea

MOROGORO, Jamii imetakiwa kuwa na moyo wa kujitoa kwa hiyari ili kuchangia huduma mbalimbali na kuonyesha nia yakutatua tatizo badala ya kusubiri kushurutishwa au lifanywe na serikali wakati jamii husika ina uwezo wa kulitatua ikiwa na dhamira. Hayo… Soma zaidi »

Soma zaidi »
29Apr2017

0
Mashuhuda wa mwaka wa huruma ya Mungu Jimbo kuu la Mwanza!
Mashuhuda wa mwaka wa huruma ya Mungu Jimbo kuu la Mwanza!

Jimbo kuu la Mwanza linafunga rasmi maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu katika maadhimisho ya Jumapili ya huruma ya Mungu, yaani tarehe 23 Aprili 2017. Askofu mkuu Yuda Thaddeus Ruwaichi anawakumbusha waamini kwamba, Baba Mt… Soma zaidi »

Soma zaidi »
22Apr2017

0
Kipindi cha Pasaka ni muda muafaka wa kuimarisha Uekumene wa huduma
Kipindi cha Pasaka ni muda muafaka wa kuimarisha Uekumene wa huduma

Mama Kanisa katika kipindi cha Pasaka anaadhimisha, anatangaza na kushuhudia matumaini, furaha, upendo na mshikamano miongoni mwa wafuasi wa Kristo mambo msingi yanayobubujika kutoka kwa Kristo Yesu, aliyeteswa, akafa na kufufuka kwa wafu! Hii ni ch… Soma zaidi »

Soma zaidi »
22Apr2017

0
Watoto wa Fatima: Francis na Yacinta kutangazwa watakatifu 13 Mei!
Watoto wa Fatima: Francis na Yacinta kutangazwa watakatifu 13 Mei!

Baba Mtakatifu Francisko amekutana na Makardinali katika Mkutano mdogo Vatican na kuruhusu kutangazwa watakatifu watoto wawili wa Fatima kuwa watakatifu tarehe 13 Mei 2017  ambao ni Mwenye heri  Francisko Marto, aliyezaliwa 11 Juni 1908 na kifo chak… Soma zaidi »

Soma zaidi »
22Apr2017

0
Hija ya kitume ya Papa Francisko Misri inalenga kupandikiza amani!
Hija ya kitume ya Papa Francisko Misri inalenga kupandikiza amani!

Hija ya Baba Mtakatifu Francisko nchini Misri kuanzia tarehe 28-29 Aprili 2017 inaongozwa na kauli mbiu “Papa wa amani nchini Misri”. Hii ni hija ya kitume inayopania pamoja na mambo mengine kukuza na kudumisha mchakato wa majadiliano ya kidini na k… Soma zaidi »

Soma zaidi »
22Apr2017

0
Askofu Mkuu Auza:Njia bora ya kuzuia chuki ni mazungumzo na kukutana!
Askofu Mkuu Auza:Njia bora ya kuzuia chuki ni mazungumzo na kukutana!

Wasiwasi juu ya hali ya  nchi za Mashariki, kushutumu mabomu ya kemikali huko Siria ukiukwaji wa haki kimataifa,majaribio ya mashambuliz ya kigaidi dhidi ya wakristo wakiwa katika sala huko Misri na wito wa makubalino ya nchi za Israeli na Palestina… Soma zaidi »

Soma zaidi »
22Apr2017

0
Askofu Kassala: Muishini Mungu kwa vitendo
Askofu Kassala: Muishini Mungu kwa vitendo

WAAMINI wametakiwa kuitumia Pasaka kufungua njia mpya ya kumfuata Kristo kwa matendo mema ambayo ndiyo yampasayo kila Mkristo kwani wakibaki katika maneno tu ukristu wao unakuwa wa mashaka. … Soma zaidi »

Soma zaidi »
22Apr2017

0
Maaskofu Dodoma walaani mauaji, ubakaji na utekaji nchini
Maaskofu Dodoma walaani mauaji, ubakaji na utekaji nchini

Soma zaidi »

Soma zaidi »
22Apr2017

0
MASOMO YA MISA, APRILI 23, 2017 DOMINIKA YA 2 YA PASAKA, MWAKA A
MASOMO YA MISA, APRILI 23, 2017 DOMINIKA YA 2 YA PASAKA, MWAKA A

Soma zaidi »

Soma zaidi »
22Apr2017

0
NIINUE BWANA Jennifer  Peter official youtube video HD
NIINUE BWANA Jennifer Peter official youtube video HD

Soma zaidi »

Soma zaidi »
16Apr2017

0
MASOMO YA MISA, APRILI 2, 2017 DOMINIKA YA 5 YA KWARESIMA
MASOMO YA MISA, APRILI 2, 2017 DOMINIKA YA 5 YA KWARESIMA

Soma zaidi »

Soma zaidi »
01Apr2017

0
Papa Francisko: Wakristo ombeni zawadi ya upatanisho na umoja!
Papa Francisko: Wakristo ombeni zawadi ya upatanisho na umoja!

Maadhimisho ya Jubilei ya miaka 500 ya Mageuzi ya Kiluteri Duniani imekuwa ni fursa ya kujenga na kuimarisha Uekumene wa damu na huduma; maisha ya kiroho na sala kwa kuvuka kinzani na misigano ya kihistoria tayari kujikita katika safari ya ujenzi wa… Soma zaidi »

Soma zaidi »
01Apr2017

0
Siku ya Familia Duniani kwa Mwaka 2018, Jimbo Kuu la Dublin, Ireland
Siku ya Familia Duniani kwa Mwaka 2018, Jimbo Kuu la Dublin, Ireland

Soma zaidi »

Soma zaidi »
01Apr2017
0

ASKOFU wa Jimbo Katoliki Mpanda Mhashamu Gervas Nyaisonga amewataka waamini kumshukuru Mungu kwa  msiba wa mapadri watatu na mtawa mmoja wote wa Jimbo Katoliki Mbeya huku akiwatak a wafahamu kwamba vifo ni kielelezo cha maisha ya duniani  kwa waliob… Soma zaidi »

Soma zaidi »
01Apr2017

0
 KONGAMANO LA EKARISTI TAKATIFU 2020 KUFANYIKA JIMB...
KONGAMANO LA EKARISTI TAKATIFU 2020 KUFANYIKA JIMB...

 MAaskofu, mapadri na waamini wa majimbo Katoliki Kanda Ya Magharibi wameanza maandalizi rasmi ya kuwa wenyeji wa Kongamano la Ekaristi...… Soma zaidi »

MSIBA MZITO: TEC yaomboleza
MSIBA MZITO: TEC yaomboleza

BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC limepata pigo baada ya kuondokewa na Mkuu wa Idara ya Uchungaji Padri Galus Marandu wa Shirika la Roho Mtakatifu(C.SS.P) aliyefariki dunia Jumapili tarehe 26 Machi 2017 Jijini Dar es Salaam, Tanzania. … Soma zaidi »

Soma zaidi »
01Apr2017
 
123 ... 72»
 
Top