Maaskofu watoa ujumbe wa Kwaresima 201
MAASKOFU 35 wanaounda Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania wametoa ujumbe wa Kwaresima kwa 2018, huku wakiwataka waamini wakatoliki wote k...
MAPADRI HESHIMUNI SADAKA ZA WAAMINI
PAROKO wa Parokia ya Bikira Maria wa Mlima Kalmeli jimboni Morogoro Padri Vivian Menezes, amewaasa mapadri nchini kushika njia ya utakatifu...
Kwa msaada wa Roho Mtakatifu, Liturujia iwe ni shule ya sala!
Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli....
Kardinali Pengo: Jitahidini kutekeleza mapenzi ya Mungu katika maisha
Yamekuwa ni mapokeo kwa Kardinali Polycarp Pengo, Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Dar es Salaam kutoa Daraja Takatifu ya Ushemasi kwa Majando...
Tusikunje mikono yetu,tuwajibike na kuwafungulia maskini!
Tunayo furaha kubwa ya kuumega mkate wa Neno na baadaye utamegwa na kuupokea mkate wa Ekaristi, kirutubisho cha safari ya maisha. Na ni f...
Baba Mt.amemteua Padre Jean-Patick Iba-Ba kuwa Askofu mpya wa Francaville
Baba Mtakatifu amemteua Askofu mpya wa Jimbo la Franceville nchini Gabon, Padre Jean-Patick Iba-Ba, ambaye hadi uteuzi huo alikuwa ni Go...
WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI WAOMBEWA NA PAPA FRANSISKO
Hapo jana (Ijumaa tarehe 3 Novemba), Baba Mtakatifu Fransisko ameadhimisha misa Takatifu kwa ajili ya kuwaombea marehemu wote makardinali...
Papa:Sisi sote ni ndugu hatuna haja ya kujiona bora zaidi ya wengine!
Madaraka yoyote yakitumika vibaya yanaunda ukosefu wa uaminifu na kuleta vizingiti, lakini mitume wa Yesu wanaalikwa kuwa makini na wasi...
‘Nimesamehe’ Ni baada ya Askofu Mkude kuzushiwa kifo
ASKOFU wa Jimbo Katoliki Morogoro Mhashamu Telesphor Mkude amesema amewasamehe wale wote waliomzushia kifo wakati akiwa nchini India akiend...
Askofu Castory Msemwa wa Jimbo Katoliki Tunduru- Masasi afariki dunia
Jimbo Katoliki Tunduru Masasi nchini Tanzania linasikitika kumpoteza mpendwa wao Baba Askofu Castory Msemwa aliyefariki tarehe 19 Okto...
















