Shirikisho la Mashirika ya Watawa wa Kike Afrika Mashariki na Kati, ACWECA, kuanzia tarehe 26 Agosti hadi tarehe 2 Septemba 2017, linafanya mkutano wake wa 17 unaoongozwa na kauli mbiu “Kuimarisha umoja wetu katika uinjilishaji wa kina mintarafu maz… Soma zaidi »
Sadaka ya maisha kwa jirani inafumbatwa katika fadhila za Kimungu!
MKUTANO MKUU WA 17 WA SHIRIKISHO LA MASISTA WAKATO...
Mtandao wa Wabunge Wakatoliki Kimataifa wakutana na Papa Francisko
Siku ya Kuombea Viumbe Hai Duniani kwa Mwaka 2017
Baba Mtakatifu Francisko alitangaza tarehe 1 Septemba ya kila mwaka kuwa ni Siku ya Kuombea Viumbe Hai Duniani, kwa upande wa Kanisa la Kiorthodox, tarehe hii ilitangazwa tangu 1989, kwa njia hiyo hata makanisa mengine pamoja na Baba Mtakatifu Fran… Soma zaidi »
MASOMO YA MISA, JUMAPILI, AGOSTI 27, 2017
SOMO I Isa. 22:19-23 Bwana, Bwana wa majeshi, asema hivi: Nami nitakusukuma na kukutoa katika mahali pako, naye atakushusha utoke hapa usimamapo. Na itakuwa katika siku ile nitamwita mtumishi wangu Eliakimu, mwana wa Hilkia; nami nitamvika vazi … Soma zaidi »
NINA HAJA NAWE Kwaya ya Mt. Yohane Paulo wa 2- Jordan University College...
Huu ni moja ya wimbo uliopo katika Album ya 3 iitwao "OLE WAO"Wimbo huu unaitwa NINA HAJA NAWE umeimbwa na Kwaya ya Mt. Yohane Paulo wa 2- Jordan University College (JUCO).Wimbo umeongonzwa na Director LaurentB. Ludovick, Kelvin Marandu na Fortun… Soma zaidi »
Papa Francisko: Kanisa litaendeleza mchakato wa mageuzi ya Liturujia
Taarifa ya Ripoti ya Mariathon kwa mwaka “2017
TAARIFA YA MARIATHON 2017 JUNE 16, 2017 Mpendwa mdau na msikilizaji wa Radio Maria, Sauti ya Kikristu Nyumbani Mwako, Tumsifu Yesu Kristu! Ninayo furaha kubwa kuwa tena pamoja nawe leo, kwa lengo la kuhitimisha kampeni yetu ya Mb… Soma zaidi »
KARDINALI PENGO AKABIDHI MRADI WA KISIMA KWA SERIKALI
Kristo Yesu anataka kujenga Kanisa lake juu ya mwamba wa imani yako!
Ndugu wapendwa, baada ya kutafakarishwa juu ya huruma ya Mungu katika dominika iliyotangulia, leo twamuona Mtume Petro akijibu swali la Yesu, akisema wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai. Na tunamsikia Yesu akimjibu Petro akimwambia wewe… Soma zaidi »
Maaskofu wa Nigeria wanatoa wito kuwa yatosha kupiga ngoma ya vita
"Inatosha kupiga ngoma katika vita", ni kichwa cha waraka uliotiwa na sahini na Askofu Mkuu Ignatius Ayau Kaigama ambaye ni askofu Mkuu wa Jimbo la Jose na Askofu Wiliam Amove Avenya, Askofu wa Jimbo la Gboko, wote kwa pamoja wkiwa ni Rais na … Soma zaidi »
Ujumbe wa Papa kwa jia ya video katika Sikukuu ya Maria wa Czestochowa
Tarehe 26 Agosti Kanisa Katoliki linafanya kumbukumbu ya Liturujia ya Mama Maria wa Czestochowa nchini Poland. Mwaka huu ni maadhimisho hayo yanakwenda sambamba na jubilei ya miaka 300 tangu kuwekwa taji juu ya kichwa cha picha ya miujiza ya Ma… Soma zaidi »
Mvimwa wapata Abate Mpya
Kardinali Parolin aonesha matumaini baada ya ziara yake nchini Russia
Askofu Mkuu Kinyaiya atoa Kipaimara kwa waamini 88 Jimbo kuu Dodoma
Bikira Maria amekuwa ni hujaji wa kwanza katika historia nzima ya ukombozi wa mwanadamu, pale alipokubali kwa moyo radhi kabisa kushiriki katika mpango wa Mungu, kwa ajili ya ukombozi wa mwanadamu, kiasi cha kujiaminisha mbele ya mwenyezi Mungu … Soma zaidi »
Yaliyojiri katika Kongamano la IV la Ekaristi Takatifu Kitaifa Ghana
Ekaristi Takatifu ni Sakramenti ya Upendo, ni zawadi na sadaka ya Kristo Yesu anayejitoa mwenyewe ili kuwafunulia watu huruma na upendo wa Mungu usiokuwa na mipaka. Huu ndio upendo unaofumbatwa katika Fumbo la Umwilisho linalopata utimilifu wake… Soma zaidi »
Kanisa halitadhoofishwa-Askofu Ndimbo
ASKOFU wa Jimbo Katoliki Mbinga na Mwenyekiti wa Huduma za Jamii kwa upande wa Elimu, katika Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Mhashamu John Ndimbo amesema kuwa, licha ya vikwazo na changamoto wanazokutana nazo katika jitihada za kumkomboa… Soma zaidi »