Papa Francisko: fanyeni maamuzi magumu dhidi ya silaha za nyuklia
Jumuiya ya Kimataifa haina budi kujizatiti kikamilifu kuhakikisha kwamba, kunakuwepo na amani duniani na kwamba, migogoro mbali mbali inap...
Miaka 100 ya utume wa kimisionari Wakapuchini nchi za Uarabuni
Hivi karibuni katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu huko Abu Dhambi nchini Uarabuni, ilifanyika maadhimisho ya kihistoria. Ilikuwa ni maa...
Padre Gallus Marandu, "Jembe la nguvu limekatika ghalfa bin vu"!
Dumishemi umoja na mshikamano kati ya waamini wa dini na madhehebu mbali mbali ili kujenga upendo na udugu, kikolezo kikuu cha maendeleo e...
Jukwaa la viongozi wa kidini la laani shambulio la kigaidi London!
Jukwaa la viongozi wa kidini nchini Uingereza limesikitishwa sana na kitendo cha kigaidi kilichofanyika Jijini London Jumatano tarehe 22 M...
Maendeleo ya watu: utume wa Kanisa katika ulimwengu wa utandawazi!
Mwenyeheri Paulo VI kunako tarehe 26 Machi 1967, miaka 50 iliyopita alitia mkwaju kwenye Waraka wa kitume “Populorum progressio” yaani “...
Waraka: Maendeleo ya watu: chombo cha ushirikiano na utawala bora!
Mwenyeheri Paulo VI miaka 50 iliyopita alichapisha Waraka wa Kitume “Populorum progression” yaani “Maendeleo ya watu” akiwataka watu wa...
BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA LAMPOTEZA MKUU WA IDARA YA UCHUNGAJI
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC linasikitika kutangaza kifo cha Mkuu wa Idara ya Uchungaji Barazani hapo Padri Gallus Thomas Marand...
Wanaume ndio chanzo cha kutoshiriki makongamano
UMOJA wa Wanawake Wakristo Wakatoliki Tanzania WAWATA Jimbo Katoliki Ifakara wamewalalamikia wanaume kuwa ndio chanzo cha kuwakwamisha wa...
Askofu Minde awataka mapadri kuwapa ushirikiano UWAKA Kahama
ASKOFU wa Jimbo Katoliki Kahama Mhashamu Ludovick Minde amewataka mapadri kuwasaidia wanaume wa Umoja wa Wanaume Katoliki (UWAKA) kuuta...
Waungamishaji wawe: Marafiki wa Yesu, Mashuhuda na Wainjilishaji
Padre muungamishaji anayejisadaka kwa ajili ya kuwaonjesha waamini huruma ya Mungu ni rafiki mwema wa Yesu, Mchungaji mwema; ni chombo na ...
Papa Francisko: Msimezwe na malimwengu na kushindwa kuwasaidia maskini
Baba Mtakatifu Francisko katika mahubiri yake kwenye Kikanisa cha Mtakatifu Martha kilichoko mjini Vatican, Alhamisi, tarehe 16 Machi 2017 a...
Papa Francisko: Utamaduni wa huruma ya Mungu unapyaisha mioyo ya watu
Baba Mtakatifu Francisko anawataka waamini kujisadaka zaidi kwa ajili ya kuwasaidia maskini na wale wote wanaosukumizwa pembezoni mwa jami...
MAANA KAMILI YA KWARESIMA
Neno kwaresma ni neno la kilatini liitwalo Quadragesima maana yake ni arobaini(40) mpenzi msomaji, katika maisha ya kikristo kuna kip...
Kufunga siyo fasheni” Askofu Mkude
ASKOFU wa Jimbo Katoliki Morogoro Mhashamu Telesphor Mkude amewaasa waamini kuachana na matendo maovu katika kipindi hiki cha Kwaresma na b...
Kwaresima: Siku 40 za kutembea katika Jangwa ya maisha ya kiroho!
Wakati umetimia na ufalme wa Mungu umekaribia, tubuni na kuiamini Injili, (Mk 1:15), haya ndiyo maneno ya kwanza ya Yesu ambayo kadri ya M...
Jumatano ya Majivu: Misingi ya imani: Sadaka, Sala na Mfungo!
Mwaliko “Mnirudie mimi, kwa machozi, kulia na maombolezo.” Maneno haya ya Nabii Yoeli yanaweza kuwa kauli mbiu ya Kipindi cha Kwaresima y...
Papa Francisko anakutana na Wakleri wa Roma tarehe 2 Machi 2017
Kardinali Agostino Vallini, Makamu Askofu Jimbo kuu la Roma amewaandikia Wakleri wote wa Jimbo kuu la Roma kushiriki na Baba Mtakatifu Fran...
Miaka 4 imegota tangu Benedikto XVI alipong'atuka rasmi madarakani
Ilikuwa ni tarehe 28 Februari 2013, Baba Mtakatifu Mstaafu Benedikto XVI alipong’atuka rasmi kutoka madarakani na kuhama kutoka Vatican ili...
Kanisa Katoliki latumia milioni 140 kuchimba visima vya maji safi
Baba Mtakatifu Francisko anaitaka Jumuiya ya Kimataifa kuwa makini sana katika matumizi ya rasilimali maji, kwani hii ni sehemu ya haki msi...
Mchakato wa Papa Benedikto wa XIII kuelekea utakatifu wafungwa!
Kardinali Agostini Vallini, Makamu Askofu Jimbo kuu la Roma, Ijumaa tarehe 24 Februari 2017 ameadhimisha ibada maalumu katika Jengo la Kitu...