Na Joseph Sabinus “SALOME, binti wa Herodia aliingia ukumbini walimokaa, akaanza kucheza ngoma mbele yao. Herode akapendezwa sana na w...
Kumbukumbu ya Mtakatifu Monika tarehe 27.8
Monika mwaka 331 huko Tagaste (Algeria). Tangu utoto wake alifundishwa kumtumikia Mungu na kujietenga na dhambi. Monika alizoea kwenda k...
Moto unawaka na cha mtemakuni kinaonekana!
Kwa wale waliopitia Jeshi la Kujenga Taifa kwa mujibu wa sheria, bila shaka wanakumbuka baadhi ya nyimbo zilizokuwa zinawatia mori ili kupa...
MTAKATIFU BERNARDO NA MAFUNZO YAKE KWETU
Bernardo wa Clairvaux ( Fontaine-lès-Dijon , Ufaransa , 1090 - Ville-sous-la-Ferté , Ufaransa , 20 Agosti 1153 ) alikuwa padri , ...
Nini kifanyike wanandoa wanaposhindwa kabisa kuvumiliana?
Ni kweli, kwamba ndoa iliyofikia mwungano na mshikamano kwa mujibu wa Sheria ya Kanisa Na. 1141 haiwezi kuvunjwa au kutanguliwa na m...
Papa Francisko alipata chakula cha mchana akiwa na wakimbizi toka Syria
Baba Mtakatifu Francisku Alhamisi 11.08.16, alipata chakula chake cha mchana katika jengo la Mtakatifu Marta la ndani ya Vatican , akiwa n...
Historia ya miaka 50 inayoandikwa kwa wino wa machozi ya furaha!
Shirika la Wamissionari wa Damu Azizi ya Yesu, kunako mwaka 2015 limeadhimisha Jubilei ya miaka 200 tangu kuanzishwa kwa Shirika hili kwa ku...
Kongamano la XXVI la Ekaristi Takatifu Kitaifa nchini Italia!
Baraza la Maaskofu Katoliki Italia kuanzia tarehe 15 - 18 Septemba 2016 linaadhimisha Kongamano la XXVI la Ekaristi Takatifu Kitaifa, Jimbo...
Makanisa ya Mashariki yanapaswa kujipyaisha daima!
Kardinali Leonardi Sandri, Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa kwa ajili ya Makanisa ya Mashariki anasema, kuna haja ya kwa Makanisa ya Mashariki...
Familia Barani Afrika zinapaswa kuwa macho na utamaduni wa kifo!
Kenya inatarajiwa kuwa ni mwenyeji wa mkutano wa familia Kanda ya Afrika utakaofanyika kuanzia tarehe 22- 24 Septemba 2016. Hili litakuwa n...
Iweni wahudumu wa Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo!
Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo Katoliki la Musoma, Tanzania, anawaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kuwa ni mashuhud...
Mama Theresa wa Calcutta, Jembe la huruma ya Mungu!
Baba Mtakatifu Francisko hapo tarehe 4 Septemba 2016, majira ya saa 4:30 kwa saa za Ulaya anatarajiwa kuadhimisha Ibada ya Misa Takatifu na ...
Imani isaidie kuponya makovu ya wanandoa!
Wosia wa kitume wa Baba Mtakatifu Francisko “Furaha ya Upendo ndani ya familia” “Amoris laetitia ” ni matunda ya umoja na ushirikiano wa ur...
JIMBO KATOLIKI MBULU:WATAWA 12 WAWEKA NADHIRI ZA D...
Watawa kwa njia ya nadhiri ya usafi kamili, utii na ufukara wanakuwa ni mashuhuda, vyombo na mitume wa huruma ya Mungu kwa watu wake na...
Vyama vya kitume vinalipyaisha Kanisa!
Kardinali Gerhard Ludwig Muller, Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la Mafundisho Tanzu ya Kanisa anasema, Waraka mpya wa “Iuvenescit Ecclesia ...
Papa aonya : Sanda haina mifuko!
Baba Mtakatifu Francisko akiwahutubia mahujaji na wageni katika Uwanja wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican, Jumapili tarehe 7 A...
Ushauri wa bureeee kwa wanandoa!
Katika maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu tunawaalika wana ndoa kujitazama kwa msaada wa kioo hiki. Tunapojitazam...
MASOMO YA MISA JUMAPILI, AGOSTI 7, 2016 DOMINIKA YA 19 YA MWAKA
SOMO 1 Hek 18: 6-9 Usiku ule baba zetu walitangulia kuonywa, ili wakiwa na ufahamu hakika, wafurahishwe na viapo walivyovitegemea; kwa hi...
Sherehe ya kung'ara Bwana na Kashfa ya Msalaba!
Mama Kanisa kila mwaka ifikapo tarehe 6 Agosti anaadhimisha Sherehe ya Kung’ara kwa Bwana, kielelezo cha utimilifu wa Sheria na Unabii unaof...
Dunia ina kiu ya msamaha!
Maadhimisho ya Jubilei ya miaka 800 ya Msamaha wa Assisi ni tukio ambalo linawakumbusha waamini nia thabiti ya Mtakatifu Francisko wa Assi...
Papa aunda tume kushughulia Ushemasi wa Wanawake Ndani ya Kanisa
Baba Mtakatifu Francisko baada ya kusali na kutafakari kwa kina kuhusu Ushemasi wa wanawake ndani ya Kanisa Katoliki baada ya kukutana na ...
Papa achonga na waandishi wa habari na kueleza jinsi alivyoanguka!
Baba Mtakatifu Francisko wakati akirejea kutoka Poland kwenye maadhimisho ya Siku ya XXXI Vijana Duniani kwa Mwaka 2016, Jumapili tarehe 31 ...
Vijana pambaneni na maisha na wala msikate tamaa!
aba Mtakatifu Francisko kabla ya Ibada ya Misa Takatifu kwa ajili ya kufunga maadhimisho ya Siku ya XXXI ya Vijana Duniani, Jumapili tarehe ...
WAKRISTO NA WAISLAMU WALAANI UGAIDI
Kutoka Italia na Ufaransa.Siku ya Jumapili nchini Italia Waislamu na Wakristu wameweza kujumuika kwa pamoja na Kusali katika parokia mb......