Maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu yamefungwa rasmi, lakini lango la huruma ya Mungu na katekesi makini kwa waamini ili waweze kuwa kweli ni vyombo na mashuhuda wa huruma ya Mungu bado inaendelea! Kuwashauri wenye shaka na … Soma zaidi »
Alama za kuonesha mwendo tempo. Za msingi bi allegro, largo, adagio, vivace, presto, andante na lento. Alama hizi zinafuata idadi ya noti katika dakika (bpm - beats per minuet au MM - metronome) Tuanze na alama yenye kasi sana na kushuka mpaka mwend… Soma zaidi »
DONDOO ZA UFUNDISHAJI WA KWAYA
JE IMANI AU MAPOKEO YA KANISA KATOLIKI YANAPATIKANA KATIKA BIBLIA?
MBINU ZA UIMBAJI
MAJILIO
Majilio (pia: Adventi ) ni kipindi cha liturujia ya madhehebu mbalimbali ya Ukristo (kama vile Kanisa Katoliki, ya Waorthodoksi , Waanglikana na Walutheri ) kinatangulia sherehe ya Noeli na kuanza mwaka wa liturujia. Kinaweza kudumu kati ya siku 22 … Soma zaidi »
Jubilei ya Mwaka Mtakatifu wa huruma ya Mungu!
Maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu imekuwa ni fursa makini kwa huruma ya Mungu kuwa ni kiini cha tafakari ya maisha na utume wa Kanisa; tafakari ambayo inapaswa kumwilishwa katika uhalisia wa maisha ya watu kwa njia ya mate… Soma zaidi »
Taarifa ya Uhuru wa Kuabudu Duniani
Matumizi haramu ya dawa za kulevya na madhara yake kwa jamii!
Baba Mtakatifu Francisko anasema, biashara haramu ya binadamu na mifumo yote ya utumwa mamboleo kama vile kazi za suluba kwa watoto wadogo, biashara ya ngono, biashara haramu ya viungo vya binadamu; biashara na matumizi haramu ya dawa za kulevya ni … Soma zaidi »
Waraka wa Kitume: "Misericordia et misera": "Huruma na amani"
Hiki ni kipindi cha huruma ya Mungu kinachopania kuwaonjesha maskini na wale wanaosukumizwa pembezoni mwa jamii: huruma na upendo wa Mungu usiokuwa na mipaka na kwamba, kila mtu anaalikwa kukimbilia na kuambata huruma ya Mungu katika maisha yake. Ni… Soma zaidi »
Jiandaeni vyema kukutana na Kristo Hakimu mwenye haki na huruma
Katika maadhimisho ya kumbu kumbu ya Mtakatifu Cecilia, Bikira na Shahidi inayoadhimishwa na Mama Kanisa kila mwaka ifikapo tarehe 22 Novemba, Baba Mtakatifu Francisko wakati wa mahubiri yake kwenye Kikanisa cha Mtakatifu Martha, kilichoko mjini Vat… Soma zaidi »
Papa Francisko: Yaliyojiri katika Mwaka wa huruma ya Mungu
Baba Mtakatifu Francisko katika mahojiano maalum na Kituo cha Televisheni cha Tv2000 na Radio Inblu, vinavyomilikiwa na kuendeshwa na Baraza la Maaskofu Katoliki Italia anasema, ni vigumu sana kuweza kutoa tathmini ya jumla ya maadhimisho ya Mwaka M… Soma zaidi »
Pale ndoto ya Upadre inapofutika?
MITAGUSO MIKUU
Tafathari (Download)Pakua hapa kupata Mitaguso ya kanisa MITAGUSO MIKUU … Soma zaidi »
HISTORIA FUPI YA IBADA YA ROZARI.
Huruma ya Mungu na Majadiliano ya Kiekumene ni matunda ya Mtaguso!
Maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu imekuwa ni nafasi ya kutekeleza kwa dhati mafundisho ya Mababa wa Mtaguso mkuu wa Pili wa Vatican, waliotamani kuliona Kanisa kuwa ni Mama mpendelevu, mvumilivu na anayewaka moto wa mapend… Soma zaidi »
Kard.Pengo: Kufunga Mwaka wa Huruma ni kufungua milango ya msamaha
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amesema kuwa, kufunga Yubilei ya Huruma ya Mungu ni kufungua upya Huruma ya Mungu kwa wanadamu. Mwadhama ameeleza hayo hivi karibuni wakati wa Misa Takatifu ya kufung… Soma zaidi »
Matendo ya huruma kiroho!
Kuwashauri wenye shaka; kuwafundisha wajinga; kuonya wakosefu; kufariji wenye huzuni; kusamehe makosa; kuvumilia wasumbufu; kuwaombea walio hai na marehemu ni sehemu muhimu sana ya matendo ya huruma kiroho. Baba Mtakatifu Francisko wakati wa katekes… Soma zaidi »
Waamini vuguvugu wanalitia kichefuchefu Kanisa!
Baba Mtakatifu Francisko katika mahubiri yake wakati wa Misa Takatifu kwenye Kikanisa cha Mtakatifu Martha kilichoko mjini Vatican, siku ya jumanne, tarehe 15 Novemba 2016, amewaalika waamini kuchukua tahadhari kuepuka kuwa watu vuguvugu. Kristo ana… Soma zaidi »
NAFASI NA KAZI YA CONDUCTOR
Awali naomba niwatake radhi kwa kuendelea kutumia neno ‘conductor’ mpaka sasa nimeshindwa kupata tafsiri yake kwa Kiswahili. Najua wengine wanamwita ‘mpimishaji’ na wengine’ mwongozaji’ au ‘mwimbishaji’. Naomba niendelee kutumia neno ‘conductor’ ili… Soma zaidi »
Maaskofu wajifunga kibwebwe kupambana na rushwa nchini Kenya
Baba Mtakatifu Mstaafu Benedikto XVI katika Waraka wake wa Kitume “Dhamana ya Afrika” “Africae munus” anasema, Kanisa Barani Afrika linapaswa kuwa ni chemchemi ya upatanisho, haki na amani; masuala ambayo kimsingi yanagusa medani za kisiasa, lakini … Soma zaidi »
Upendo wa Mungu unajifunua kwa njia ya Kristo Yesu!
Upendo usiomtambua Kristo kwamba amekuja katika mwili, akafanyika mwili, sio upendo ambao Mungu anawaamuru watu. Upendo wa namna hiyo ni upendo wa kidunia, wa kifalsafa, wa nadharia, upendo usio halisi, upendo laini laini. Upendo wa Mungu, ni upendo… Soma zaidi »
Namna ya Ku-Upload na Ku-Edit Nyimbo kwenye Swahili Music Notes
Muongozo huu ni kuwasaidia wale ambao hawajaweza ku-upload nyimbo bado: … Soma zaidi »
ZINGATIENI MAADILI YA UPADRI-ASKOFU RUWA’ICHI
ASKOFU mkuu wa Jimbo Kuu katoliki Mwanza Mhashamu Jude Thadeus Ruwa’ichi amewakumbusha mapadri kuepuka kuweka ubunifu usiokuwa na tija katika uinjilishaji bali ni lazima wafuate maadili ya upadri na misingi ya kanisa bila kuchoka. Amewataka wajue… Soma zaidi »
MISALE MPYA YA ALTARE YAKAMILIKA
MWENYEKITI wa idara ya Liturujia Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania Askofu Salutaris Libena akimkabidhi Misale ya Altare Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa. Makabidhiano hayo yamefanyika makao makuu y… Soma zaidi »
AMINA, AMINA, AMINA - Kiitikio muhimu sana katika Liturujia
Kiitikio hicho tunakifahamu sisi sote; tunaitikia mara nyingi lakini je, tunaelewa umuhimu wake? Binafsi nikichunguza wakati wa maadhimisho mbalimbali ya Liturujia hasa Adhimisho la Ekaristi, ni baadhi tu ya waamini wanaoitikia Aminasehemu mbalimbal… Soma zaidi »
Biashara haramu ya binadamu inaathiri utu na heshima ya binadamu!
Ni matumaini ya Baba Mtakatifu Francisko kwamba mkutano mkuu wa Pili wa Mtandao wa Mashirika ya Kitawa Barani Ulaya dhidi ya biashara haramu ya binadamu na unyonyaji, RENATE kuanzia tarehe 7 – 11 Novemba 2016 itakuwa ni fursa ya kusali, kutafakari n… Soma zaidi »
Taasisi ya Kipapa kwa ajili Kudumisha uhai na utu wa mtu!
Baba Mtakatifu Francisko, tarehe 8 Oktoba 2016 amepitisha kanuni mpya za uendeshaji wa taasisi ya Kipapa kwa ajili ya Maisha. Kanuni zitakazotumika kwa kipindi cha miaka mitano ijayo kuanzia sasa. Taasisi hii ilianzishwa na Baba Mtakatifu Yohane Pau… Soma zaidi »
Kanisa kuu la Mt. Yosefu Mfanyakazi, Karonga, Malawi latabarukiwa
Kardinali Fernando Filoni, Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji wa watu katika safari yake kitume nchini Malawi, kuanzia tarehe 3 - 7 Novemba, 2016 amepata nafasi ya kuadhimisha Ibada ya Misa Takatifu, kuzungumza na Wakleri pamoja na Wataw… Soma zaidi »
Gundueni na kusimamia tunu msingi za maisha ya ndoa na familia!
Baba Mtakatifu Francisko, Jumamosi, tarehe 5 Novemba 2016 ameipongeza familia ya Asburg iliyokuwa inafanya hija ya kiroho mjini Roma, kama sehemu ya maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu. Baba Mtakatifu amefafanua kuhusu dhana… Soma zaidi »
Jubilei ya Wafungwa Duniani: Maboresho ya maisha na msamaha!
Baba Mtakatifu Francisko mara baada ya maadhimisho ya Jubilei ya Wafungwa Duniani kama sehemu ya maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu, Jumapili, tarehe 6 Novemba 2016 kwenye Uwanja wa Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatic… Soma zaidi »
Andikeni historia yenu kwa neema na baraka na uwajibikaji binafsi
Maadhimisho ya Jubilei ya Mwaka mtakatifu wa huruma ya Mungu kwa ajili ya wafungwa kutoka sehemu mbali mbali za dunia, Jumapili, tarehe 6 Novemba 2016, kwenye Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican yamepambwa kwa shuhuda mbali mbali za jinsi wa… Soma zaidi »
Umuhimu wa ukimya katika maadhimisho ya Liturujia ya Kanisa!
Kardinali Robert Sarah, Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la Nidhamu na Sakramenti za Kanisa anazungumzia kuhusu umuhimu wa ukimya katika maadhimisho ya Ibada mbali mbali za Kanisa ili kumtukuza Mwenyezi Mungu na mwanadamu kukombolewa. Liturujia inawaj… Soma zaidi »
Msikate tamaa, simameni kidete kutangaza na kushuhudia furaha ya Injili
Kardinali Fernando Filoni, Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji wa watu, anaendelea na ziara yake nchini Malawi, akimwakilisha Baba Mtakatifu Francisko, katika tukio takatifu na la kihistoria kwa Kanisa nchini humo, la kutabaruku Kanisa Ku… Soma zaidi »
Ekaristi Takatifu, chemchemi ya huruma na upendo wa Mungu!
Jimbo kuu la Mwanza, Tanzania kuanzia tarehe 25 Septemba hadi tarehe 1 Oktoba 2016 liliendesha Kongamano la Huruma ya Mungu lililowashirikisha waamini kutoka katika Majimbo Katoliki yanayounda Jimbo kuu la Mwanza. Hiki kilikuwa ni kipindi muafaka ch… Soma zaidi »