Baba Mtakatifu Francisko Alhamisi, tarehe 28 Julai 2016 ameadhimisha Ibada ya Misa Takatifu kwenye Madhabahu ya Jasna Gòra kama sehemu ya kilele cha Jubilei ya miaka 1050 ya Ukristo nchini Poland, ibada ambayo imehudhuriwa na umati mkubw wa familia … Soma zaidi »
Mapambano dhidi ya Ukimwi Duniani!
Mkutano wa Ukimwi wa Kanisa Katoliki Kimataifa unawaunganisha wataalam na wadau mbali mbali ambao wamekuwa mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya ugonjwa Ukimwi huko Durban, Afrika ya Kusini kuanzia tarehe 15- 17 Julai 2016 ili kujadili na hatim… Soma zaidi »
WALIMU NA WADAU WA MUZIKI MTAKATIFU WAKUTANA TEC
Baadhi ya matukio yanayojiri katika Mkutano unaowakutanisha Walimu na wadau wa Muziki Mtakatifu wa Kanisa Katoliki, hasa wanaoon...… Soma zaidi »
Papa Francisko:Ziarani Krakow Poland
Jumatano hii majira ya saa nane za Italia, Baba Mtakatifu alielekea Krakow Poland tokea uwanja wa ndege wa Fiumicino Italia , kwa ndege ya Altalia AZ/A321,safari ya saa mbili hewani akipita katika anga za Italia, Croazia, Slovenia, Austria , Slovak… Soma zaidi »
Vijana ni majembe ya huruma ya Mungu!
Kardinali Stanislaw Dziwisz, Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Cracovia anapenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha vijana wa kizazi kipya kutoka sehemu mbali mbali za dunia katika maadhimisho ya Siku ya XXXI ya Vijana Duniani kwa Mwaka 2016 yanayoongozwa n… Soma zaidi »
Ujumbe kwa familia ya Mungu Barani Afrika!
Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika na Madagascar, SECAM, baada ya kuhitimisha mkutano wake mkuu wa 17 uliokuwa unafanyika huko Luanda, Angola kuanzia tarehe 18- 25 Julai 2016, limetoa ujumbe kwa familia ya Mungu na watu wote wenye ma… Soma zaidi »
Watakatifu mifano ya kuigwa na vijana!
Waandaaji wa maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani kwa Mwaka 2016 huko Cracovia, Poland kuanzia tarehe 26- 31 Julai 2016 wameweka pia masalia ya Mtakatifu Maria Magdalena, mtume wa mitume na shuhuda wa huruma ya Mungu, kama mfano bora wa kuigwa kwa … Soma zaidi »
Mbinu mkakati wa kudumisha ukuu na utakatifu wa ndoa!
hirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika na Madagascar, SECAM katika mkutano wake mkuu wa 17 huko Luanda, Angola kuanzia tarehe 18 – 25 Julai 2016 ambao unaongozwa na kauli mbiu “Familia Barani Afrika: Jana, Leo na Kesho kadiri ya mwanga wa… Soma zaidi »
MASOMO DOMINIKA YA 17 YA MWAKA
Umuhimu wa Sakramenti ya Ubatizo na Majiundo endelevu ya imani!
Mama Carmen Hernàndez, muasisi mwenza wa Chama cha Kitume cha Ukatekumeni mpya pamoja na Bwana Kiko Arguello, aliyefariki dunia Jumanne tarehe 19 Julai 2016 amezikwa Alhamisi, tarehe 21 Julai 2016 huko Madrid, Hispania katika Ibada ya Misa Takatifu … Soma zaidi »
Maaskofu: Tuko tayari kuandika historia kwa ushuhuda wa damu yetu!
araza la Maaskofu Katoliki Ufilippini baada ya kuhitimisha mkutano wake wa mwaka, linasema, litaendelea kusimama kidete: kufundisha, kuongoza na kuwatakatifuza watu wa Mungu nchini humo. Maaskofu wataendelea pia kutekeleza dhamana na wajibu wao wali… Soma zaidi »
Wamonaki na safari ya "kuutafuta uso wa Mungu
Kuna haja ya kudumisha majiundo makini; umuhimu wa tafakari ya Neno la Mungu; vigezo muhimu kwa Jumuiya ya Kimonaki kuweza kujitegemea pamoja na uwezekano wa kuunda Shirikisho la Wamonaki ndani ya Kanisa. Haya ni kati ya mambo ambayo Baba Mtakatifu … Soma zaidi »
Askofu Ngalalekumtwa ana neno la kusema!
FIELD WORK NA RAJO PRODUCTIONS
Siku ya 31 ya Vijana Duniani 2016!
Baba Mtakatifu Francisko wakati wa hija yake ya kumi na tano ya kitume nchini Poland kama sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani inayoongozwa na kauli mbiu “heri wenye rehema maana hao watapata rehema” kuanzia tarehe 26 – 31 Julai 2016 ata… Soma zaidi »
UZINDUZI ALBUM YA KWAYA YA MT KIZITO – MAKUBURI DS...
Matukio katika picha kufuatia uzinduzi wa Album ya 11 ( Mimina Neema ) ya Kwaya ya Mt. Kizito Parokia ya Mwenyeheri Annuarite Makuburi Jimb...… Soma zaidi »
Siku ya 31 ya Vijana Duniani: Hija ya imani na udugu!
Heri wenye rehema maana hao watapata rehema! Hii ndiyo kauli mbiu inayoongoza maadhimisho ya Siku ya 31 ya Vijana Duniani yanayofanyika Jimbo kuu la Cracovia kuanzia tarehe 26 - 31 Julai 2016. Tayari makundi ya vijana yameanza kuelekea nchini Poland… Soma zaidi »
ALBAMU MPYA YA KWAYA YA MT: KIZITO MAKUBURRI
Mimina Neema. Ni Toleo la 11 la Kwaya ya Mtakatifu Kizito, Parokia ya mwenye heri Anuarite - Makuburi, Dar es salaam. Huu ni wimbo mmoja miongoni mwa nyimbo 12 zinazofanya Album hii. Jipatie nakala yako ya DVD sasa. Piga simu namba +255 715 160 055 … Soma zaidi »
ALBAMU MPYA YA KWAYA YA MT. KIZITO-MAKUBURI
Albamu ya 11 ya KMK. Inazinduliwa tar 16 July 2016 INAITWA-----MIMINA NEEMA Kava litakuwa na rangi ya blue bahari na nyeupe. Maelezo mengine ya ziada utayaona alasiri ya leo ukiwa na DVD yako mkononi. Ndiyo kusema usikose Loyola. Kwa… Soma zaidi »
Mchango wa Kanisa katika mapambano dhidi ya Ukimwi!
Kanisa Katoliki limekuwa mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukwimwi duniani kwa kutoa huduma za kurefusha maisha pamoja na kuwasaidia waathirika wa ugonjwa Ukimwi kwa hali na mali. Tarehe 15 hadi 17 Julai 2016 kunafanyika mkutano w… Soma zaidi »
MAANA YA SALA YA “SALAMU MARIA”
Utangulizi: Ili tunufaike na mada hii, hebu tuanze kwa kuorodhesha maswali au dukuduku zote tulizo nazo kuhusu Mama Bikira Maria. Natumaini baada ya kupitia kurasa hizi kwa makini tutakuwa tumepata majibu karibu yote. Baadhi ya maswali tuliyozea ku… Soma zaidi »
Kuna ushahidi gani kuwa Bikira Maria alipalizwa mbinguni mwili na roho?
Bikira Maria kupalizwa mbinguni. Kanisa Katoliki linajivunia kwa imani hiyo kwani linaamini na kusadiki tendo hili la Mungu kumpaliza mbinguni mwanamke Pekee duniani aliyeshiriki ukombozi wa mwanadamu. Ijapo Kanisa linakumbwa na changamoto kutoka kw… Soma zaidi »
Kanisa linawahitaji vijana watakaojisadaka!
Mwaka mmoja umegota tangu Baba Mtakatifu Francisko alipofanya hija ya kitume Amerika ya Kusini kuanzia tarehe 5 – 12 Julai 2015 kwa kutembelea Equador, Bolivia na Paraguay. Familia ya Mungu katika matatifa haya imefanya kumbu kumbu ya maadhimisho ha… Soma zaidi »
Askofu. Paul Ruzoka: Vijana ni mashahidi wa imani
ASKOFU Mkuu Paul Ruzoka wa Jimbo Kuu Katoliki Tabora amewaasa waamini wa Parokia ya Kipalapala kuishi maisha ya Upendo na moyo wa ustahimil...… Soma zaidi »
Matokeo yote ya kidato cha sita 2016 na matokeo ya Ualimu DSEE na GATCE 2016
Baraza la Mitihani la Taifa – NECTA limetangaza matokeo ya Kidato cha Sita mwaka 2016 na matokeo ya mitihani ya Ualimu daraja la cheti na Diploma mwaka 2016 Akitangaza matokeo hayo Jijini DSM, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa – NECTA, … Soma zaidi »
Papa Francisko ni mjumbe wa amani!
Baba Mtakatifu Francisko anatarajia kufanya hija ya kitume nchini Georgia na Azerbaigian kuanzia tarehe 30 Septemba hadi tarehe 2 Oktoba 2016. Lengo la hija hii ya kitume anasema, Kardinali Pietro Parolin, Katibu mkuu wa Vatican ni kuendelea kuhamas… Soma zaidi »
Makatekista na utume wa familia enezeni furaha ya upendo!
Makatekista ni wadau wakuu katika mchakato wa Uinjilishaji wa kina Barani Afrika. Wao wamekuwa mstari wa mbele katika Uinjilishaji wa awali Barani Afrika na wanaendelea kuwa mstari wa mbele katika kuwatayarisha wakatekuemni ili kupokea Sakramenti za… Soma zaidi »
WANACHUO 2,739 WASITISHIWA MIKOPO
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesitisha kwa muda mikopo kwa wanafunzi 2,739 walioshindwa kujitokeza wakati wa kuhakiki wanufaika wa mikopo hiyo. Aidha, imetoa siku saba kuanzia jana kwa wanafunzi ambao hawakuhakikiwa kwenda ku… Soma zaidi »
Askofu mkuu Zimowski amefariki dunia!
Askofu mkuu Zygmunt Zimowski, Rais wa Baraza la Kipapa la huduma za kichungaji kwa wafanyakazi katika sekta ya afya, amefariki dunia, Jumatano tarehe 13 Julai 2016 akiwa nchini Poland ambako alikuwa anatibiwa kutokana na kusumbuliwa kwa Saratani ya … Soma zaidi »
Kuingilia shughuli za mahakama ni kuhatarisha haki na amani ya nchi!
Baraza la Maaskofu Katoliki Ghana linasikitishwa sana na vitendo vya ukatili dhidi ya Mahakimu ambao wamepewa dhamana na Katiba kulinda, kutetea na kutekeleza utawala wa sheria, kwani vitendo hivi vinahatarisha uhuru, amani na mafungamano ya kijamii… Soma zaidi »
Ajali mbaya ya treni Italia, Papa atuma salam za rambi rambi!
Baba Mtakatifu Francisko amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za ajali ya treni mbili za abiria kugongana uso kwa uso huko Kusini mwa Italia na kusababisha zaidi ya watu 27 kupoteza maisha na wengine wengi kupata majereha. Ajali hii imetokea Jum… Soma zaidi »
TV TUMAINI KUONEKANA NCHI NZIMA
Mpango Mtakatifu wa kuwezesha TV Tumaini ionekane kwa waamini wakatoliki wote nchini umekaribia kukamilika.Hii inafuatia kuundwa kikosi ... … Soma zaidi »
Umuhimu na maana ya Altare!
Ibada ya Misa Takatifu ni kumbukumbu ya sadaka ambamo hudumishwa sadaka ya Msalaba, na karamu takatifu ya umoja katika Mwili na Damu ya Bwana. Lakini adhimisho la Sadaka ya Ekaristi Takatifu huelekezwa kwenye umoja wa ndani wa waamini na Kristo kwa … Soma zaidi »
Imani bila matendo hiyo ni butu!
Baba Mtakatifu Francisko wakati wa Sala ya Malaika wa Bwana kwenye Uwanja wa Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican, Jumapili tarehe 10 Julai 2016 amewataka waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema, kuhakikisha kwamba, wanamwilisha imani … Soma zaidi »
Jumapili ijayo ni Jumapili ya Utume wa Bahari
Baraza la Kipapa kwa ajili ya huduma za Kichungaji kwa Wahamiaji na watu wasiokuwa na makazi maalum, limetoa ujumbe wake kwa ajili ya maadhimisho ya Jumapili ya Utume wa Bahari ambayo ni Jumapili ijayo 10 Julai 2016. … Soma zaidi »
Msikubali kutumbukia kwenye kishawishi cha utengano!
Sote kwa pamoja kwa ajili ya Bara la Ulaya “Together 4 Europe” ni hija ya umoja katika utofauti iliyoanzishwa kunako mwaka 1999 inayounganisha vyama, mashirika na makanisa yapatayo mia tatu kutoka sehemu mbali mbali za Bara la Ulaya. Kwa muda wa sik… Soma zaidi »
Papa Francisko asema;kuwa Mkristo maana yake ni kuhubiri Injili
Vatican Radio) Jumapili kabla ya sala ya Malaika wa Bwana , Papa Francisko aliasa kwamba, kuwa Mkristo maana yake ni kumwakilishi Kristo. Papa alitoa wito huo kwa mahujaji na wageni waliokuwa wamekusanyika katika uwanja wa Kanisa Kuu la Mtakatifu P… Soma zaidi »
Siku ya Vijana Duniani: Vijana kuwasha moto wa Injili ya huruma!
Maadhimisho ya Siku ya 31 ya Vijana Duniani kwa Mwaka 2016 Jimbo kuu la Cracovia, Poland yanayoongozwa na kauli mbiu “Heri wenye rehema maana hao watapata rehema” ni moto wa kuotea mbali kwani ni wakati wa vijana kushuhudia kwa walimwengu kwamba, wa… Soma zaidi »
Maandamano kuenzi Injili ya uhai na familia!
Argentina! Simama na tembea! Ndiyo kauli mbiu kutoka kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Argentina wakati wa maandamano ya kutetea Injili ya uhai na familia, yaliyofanyika Jumamosi, tarehe 2 Julai 2016 katika miji mbali mbali nchini Argentina. Lengo la … Soma zaidi »
Umoja wa Kanisa ni muhimu kabla ya kutambuliwa kisheria!
Monsinyo Guido Pozzo, Katibu mkuu wa Tume ya Kipapa ijulikanayo kama Kanisa la Mungu, “Ecclesia Dei” anasema, tume hii inaendelea kufanya majadiliano ya kina na “Jumuiya ya Udugu wa Mtakatifu Pio X” mintarafu hali ya maisha ya Kanisa kwa nyakati hiz… Soma zaidi »
MITAGUSO YA KANISA KATOLIKI
I. MTAGUSO WA KWANZA WA NICEA (Mwaka 325) Muhtasari: Mtaguso wa Nicea ulifanyika kwa miezi miwili na siku kumi na mbili. Ulihusisha maaskofu 380. Mkutano huo ulisimamiwa na Hosius, Askofu wa Cordova. Huyu ndiye aliyemwakilisha Baba Mtakatifu wa enzi… Soma zaidi »
Mapadre wapya angalieni msimezwe na malimwengu!
Mama Kanisa anatoa Daraja Takatifu la Upadre ili kuwaingiza Mashemasi katika Ukuhani wa Kristo na hatimaye, kuwaweka wakfu ili kushiriki kikamilifu katika kufundisha Habari Njema ya Wokovu kwa watu wa mataifa; kuwatakatifuza watu wa Mungu kwa njia y… Soma zaidi »
Msithubutu kuchezea amani!
Askofu Abel Gabuza wa Jimbo Katoliki la Kimberly, Afrika ya Kusini amewataka wananchi wa Afrika ya Kusini kutofanya mzaha na misingi ya haki, amani, usalama na mafao ya wengi na kwamba, wanawajibika barabara katika kukuza na kudumisha demokrasia ya … Soma zaidi »
Imani bila matendo hiyo haina mvuto!
Maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu ni muda muafaka wa kumwilisha matendo ya huruma: kiroho na kimwili katika uhalisia wa maisha ya watu. Huruma ni mtindo wa maisha na wala si maneno yanayoelea kwenye ombwe, bali yanapaswa k… Soma zaidi »
Familia, kazi na mapumziko ni mambo muhimu kwa binadamu
Kazi ni utimilifu wa maisha ya binadamu; kazi inatoa uhakika na usalama wa maisha ya familia; kazi na familia ni mambo makuu mawili yanayotegemeana na kukamilishana. Tangu kuumbwa kwa ulimwengu mwanadamu alipewa dhamana ya kufanya kazi kama sehemu y… Soma zaidi »