1. Nyimbo zifuate vipindi vya mwaka wa liturujia wa Kanisa na ziwe sahihi kufuata misale ya altare na kitabu cha masombo pamoja na kalenda ...
Kardinali Rylko ateuliwa kuwa ni mhudumu Kanisa kuu la B. Maria Mkuu
Baba Mtakatifu Francisko amekubali ombi la kung’atuka kutoka madarakani lililowasilishwa kwake na Kardinali Santos Abril y Castellò, mhudum...
Mwongozo wa mahubiri makini!
Askofu mkuu Arthur Roche, Katibu mkuu wa Baraza la Kipapa la Ibada, Nidhamu na Sakramenti za Kanisa anasema kwamba, Mwongozo wa Mahubiri uli...
Papa Francisko: Imani ni mapambano katika majaribu!
Baba Mtakatifu Francisko katika katekesi yake ya kila Jumatano, na iliyofanyikia katika ukumbi wa Paulo wa sita tarehe 28 Desemba 2016 , ...
Papa Francisko tuchague maisha ya mwanga na kutoa ushuhuda kama Mt Stefano
Jumatatu 26 Desemba wakati Kanisa linasherehekea sikukuu ya Mtakatifu Setefano, Baba Mt Francisko katika sala ya Malaika Bwana alitoa mahub...
Salam na matashi mema kwa Papa Mstaafu Benedikto XVI
Baba Mtakatifu Francisko anasema, Noeli ni Siku kuu ya Mwanga na amani; ni muhtasari wa ufunuo wa huruma ya Mungu katika umaskini wa bina...
Mwinjili Mathayo anachambua historia na mazingira ya kuzaliwa Yesu
Jamani la mgambo limelia! “Kuzaliwa kwake Yesu Kristo kulikuwa hivi” ndiyo maneno yanayofungua Injili ya leo. Kutoka hapo tungetegemea ku...
Maaskofu USA: Wekezeni katika utume wa vijana!
Baba Mtakatifu Francisko amehitimisha maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu kwa kulizawadia Kanisa Waraka wa Kitume “...
Ni wakati wa kusikiliza na kujibu kilio cha watu wanaoteseka!
Kardinali Pietro Parolin, Katibu mkuu wa Vatican, Alhamisi, jioni tarehe 22 Desemba 2016 ameadhimisha Ibada ya Misa Takatifu kwenye Kituo ch...
Papa Francisko aruhusu kuwatangaza Watakatifu wapya na wenye Heri wa Kanisa
Tarehe 21 Desemba 2016 Baba Mtakatifu Francisko alikutana na Kardinali Angelo Amato Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa kwaajili ya kuwatangaza...
Viongozi wa Kanisa Katoliki la Congo DRC kutafuta suluhisho la migogoro ya kisiasa
Rais wa Baraza la Maaskofu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Nchi ya Congo (DRC) Askofu Mkuu Marcel Utembi Tapa alitoa wito kwa vyama vya upinz...
Noeli: Yesu azaliwe mioyoni mwenu!
Aliyetungwa kwa uweza wa Roho Mtakatifu akazaliwa na Bikira Maria ndiyo tema iliyochambuliwa na Padre Raniero Cantalamessa Ijumaa, tarehe 23...
: Mwongozo wa Malezi ya Kipadre
LUDOVICKMEDIA BLOGSPOT: Mwongozo wa Malezi ya Kipadre : Baraza la Kipapa kwa ajili ya Wakleri limechapisha mwongozo wa malezi ya Kipadre un...
Mwongozo wa Malezi ya Kipadre
Baraza la Kipapa kwa ajili ya Wakleri limechapisha mwongozo wa malezi ya Kipadre unaojulikana kama “Ratio Fundamentalisi Institutionis Sac...
Tafakari: Kulewa busara ya Roho Mtakatifu!
Tafakari zinazotolewa na Padre Raniero Cantalamessa wakati huu wa Kipindi cha Majilio kama sehemu ya maandalizi ya maadhimisho ya Sherehe ya...
Jumuiya ya wanafunzi watanzania Roma yapata "majembe ya nguvu"
Maadhimisho ya Kumbu kumbu ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania ilikuwa ni nafasi nyingine kwa Jumuiya wanafunzi Wakatoliki Watanzania wanaosom...
Jimbo kuu la Mwanza: Mwaka wa huruma, Mwaka wa Padre na Uinjilishaji
Ifuatayo ni barua ya kichungaji kutoka kwa Askofu mkuu Yuda Thaddeus Ruwaichi wa Jimbo kuu la Mwanza Tanzania anayepembua kwa kina na mapana...
Wakristo wafungulie Yesu njia , na watoe ushuhuda.
Wakristo wanatakiwa kumuona Yohane mbatizaji kama mfano wa ushuhuda wa unyenyekevu wa Yesu aliyejishusha hadi mauti, ili kuonesha ujio wa M...
17 Desemba 2016 Baba Mt. Francisko anafikisha mika 80 ya kuzaliwa
Jumamosi 17 Desemba ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Baba Mtakatifu Francisco atafikisha miaka 80 ya kuzaliwa . Saa mbili asubuhi ya ...
Minde awataka waamini kijiandaa kumpokea Mtot...
BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA: Ask. Minde awataka waamini kijiandaa kumpokea Mtot... : ASKOFU Ludovick Minde wa Jimbo la Katoliki Kah...
Dini zina mchango mkubwa katika kudumisha haki, am...
LUDOVICKMEDIA BLOGSPOT: Dini zina mchango mkubwa katika kudumisha haki, am... : Umuhimu wa kujizatiti katika kukuza na kudumisha misingi ya ...
Askofu mkuu Kasujja ateuliwa kuwa Balozi wa Luxemb...
LUDOVICKMEDIA BLOGSPOT: Askofu mkuu Kasujja ateuliwa kuwa Balozi wa Luxemb...
Siku ya Kupambana na rushwa & Siku ya haki msingi ...
LUDOVICKMEDIA BLOGSPOT: Siku ya Kupambana na rushwa & Siku ya haki msingi ... : Baba Mtakatifu Francisko mara baada ya Katekesi yake Jum...
Kanisa nchini Marekani kuonesha mshikamano na Waha...
LUDOVICKMEDIA BLOGSPOT: Kanisa nchini Marekani kuonesha mshikamano na Waha... : Maaskofu wa Marekani wameiteuwa tarehe 12 Disemba, sikukuu y...
Mazito yaliyoibuliwa na Papa Francisko katika maho...
LUDOVICKMEDIA BLOGSPOT: Mazito yaliyoibuliwa na Papa Francisko katika maho... : Baba Mtakatifu Francisko katika mahojiano maalum na Jarida ...
Jitaabisheni kutafuta wokovu wa roho zenu!
LUDOVICKMEDIA BLOGSPOT: Jitaabisheni kutafuta wokovu wa roho zenu! : Patriaki Bartolomeo wa kwanza wa Kanisa la Kiorthodox la Costantinop...
Itengenezeni njia ya Bwana, yanyoosheni mapito yak...
LUDOVICKMEDIA BLOGSPOT: Itengenezeni njia ya Bwana, yanyoosheni mapito yak...
Jitaabisheni kutafuta wokovu wa roho zenu!
Patriaki Bartolomeo wa kwanza wa Kanisa la Kiorthodox la Costantinopoli anasema, Mungu ni upendo na ni mwingi wa huruma na msamaha mambo ...
Mazito yaliyoibuliwa na Papa Francisko katika mahojiano maalum!
Baba Mtakatifu Francisko katika mahojiano maalum na Jarida la “Tertio” linalomilikiwa na kuchapishwa na Baraza la Maaskofu Katoliki Ubelgij...
Kanisa nchini Marekani kuonesha mshikamano na Wahamiaji
Maaskofu wa Marekani wameiteuwa tarehe 12 Disemba, sikukuu ya Bikira Maria wa Guadalupe, kuwa ni siku ya kuonesha mshikamano kwa wakimbizi ...
Siku ya Kupambana na rushwa & Siku ya haki msingi za binadamu kimataifa!
Baba Mtakatifu Francisko mara baada ya Katekesi yake Jumatano tarehe 7 Desemba 2016 amegusia maadhimisho ya Siku ya Kupambana na Rushwa Kima...
Jubilei ya miaka 100 ya Skauti nchini Italia
Chama cha Skauti nchini Italia, Jumapili tarehe 4 Desemba 2016 kimeadhimisha Jubilei ya miaka 100 tangu kilipoanzishwa kwa Ibada ya Misa Tak...
Dini zina mchango mkubwa katika kudumisha haki, amani na maridhiano
Umuhimu wa kujizatiti katika kukuza na kudumisha misingi ya haki na amani hata katika maeneo ya vita; kuheshimu na kuthamini maisha ya binad...