Sala iwe ni chachu ya ushuhuda wa huruma na upendo wa Mungu!
Katika Sherehe ya Watakatifu Petro na Paulo miamba wa imani, tarehe 29 Juni 2016, Baba Mtakatifu Francisko ameadhimisha Ibada ya Misa Takatifu kwenye Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican na kubariki Pallio takatifu watakazovishwa Maaskofu wak… Soma zaidi »
Kristo Yesu ni chemchemi ya: Upendo, huruma, faraja na amani!
Baba Mtakatifu Francisko wakati wa Sala ya Malaika wa Bwana kwenye Uwanja wa Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican, Jumatano, tarehe 29 Juni 2016 amesema, Mama Kanisa anamwimbia Mwenyezi Mungu utenzi wa sifa na shukrani kwa mahubiri na ushuhud… Soma zaidi »
NAFASI YA NENO LA MUNGU katika Maisha ya Mkristo.
1. Katika kila kusanyiko la Dominika, ni Yesu mwenyewe anaongea na Waumini. Vitabu mbalimbali vinavyounda Biblia ni matokeo ya kazi ya Karne kadhaa. Ilichukua miaka mingi, chini ya uongozi wa Mungu, masimulizi yaliyo katika Biblia kuandikwa na kuwa … Soma zaidi »
Papa mstaafu Benedikto XVI anasherehekea Miaka 65 ya Upadre
Wito na maisha ya Upadre ni neema na zawadi kubwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu inayopaswa kumwilishwa katika fadhila ya huruma na mapendo kwa Mungu na jirani. Tarehe 29 Juni 1951, Miaka 65 iliyopita, Joseph Ratzinger, Baba Mtakatifu mstaafu Benedikto X… Soma zaidi »
Sherehe ya Watakatifu Petro na Paulo miamba wa imani!
Baba Mtakatifu Francisko katika maadhimisho ya Sherehe ya Watakatifu Petro na Paulo mitume, tarehe 29 Juni 2016, Majira ya saa 3:30 asubuhi kwa saa za Ulaya anatarajiwa kuongoza Ibada ya Misa Takatifu na kutoa Pallio Takatifu kwa Maaskofu wakuu wapy… Soma zaidi »
Hotuba ya Papa Francisko , wakati akitembelea Kanisa Kuu la Kitume la Armenia
Baba Mtakatifu Francisko mara baada ya kuwapokewa mjini Yerevan Armenia Ijumaa hii , majira ya saa tisa na nusu saa za armenia , alikwenda kutolea sala zake katika Kanisa Kuu la Kitume la Armenia la Mtakatifu Etchmiadzin , mwenyeji wake akiwa ni Mta… Soma zaidi »
TEC YATOA PONGEZI
BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA: TEC YATOA PONGEZI: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania(TEC) limefanya hafla fupi Kurasini Centre Dar es Salaam iliyofana sana ya kuwapongeza Mababa Askofu...… Soma zaidi »
UMATI wa waombolezaji wamejitokeza kumzika Padri Filipo Mrope (94) aliyefariki dunia Juni 19 mwaka huu huko kwenye Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mtwara iliyoko Ndanda katika Wilaya ya Masasi Mkoani humo.
KIGOMA WAIMARISHWA
INJILI POPOTE:KIGOMA WAIMARISHWA: Askofu Joseph Mlola, ALCP/OSS wa Jimbo Katoliki Kigoma akipanda katika boti kuelekea Kigango cha Zashe kwenye ziara ya kichungaji. ... … Soma zaidi »
Hija ya Baba Mtakatifu Francisko Armenia
Kipanya Ft BMC-coming soon
FUNGU LA KUMI (ZAKA).
Kuna Wakristo wa Agano jipya kama mimi, wanamwamini Mungu na Neno lake, lakini wamekuwa wakipata wakati mgumu kuhusu swala la FUNGU LA KUMI kama ni sahihi kwa WATU WA AGANO JIPYA KUTOA AINA HII YA SADAKA, AU KAMA ILIKUWA IKIWAHUSU WAISRAELI PEKE YAO… Soma zaidi »
Crane Testing@Ludovick Media
kwa mahitaji mbali mbali ya Video shooting usisite kuwasiliana nasi.… Soma zaidi »
Watakatifu wapya kutangazwa hapo tarehe 16 Oktoba 2016
Baba Mtakatifu Francisko, Jumatatu asubuhi, tarehe 20 Juni 2016 ameongoza mkutano wa kawaida wa Makardinali wakati wa sala ya hadhuhuri, ili kupiga kura kwa ajili ya wenyeheri wanaotarajiwa kutangazwa na Mama Kanisa kuwa ni watakatifu. Baba Mtakatif… Soma zaidi »
Kristo anaifahamu roho ya ubinadamu na ana uwezo wa kuiponya
Vatican)Jumapili akihutubia wakati wa sala ya Malaika wa Bwana , Baba Mtakatifu Francisco alionyesha kujali kwamba, wafuasi wote wa Kristo wanatakiwa kutoa majibu katika changamoto za kimaisha, na Kristo ndiye pekee jibu sahihi. … Soma zaidi »
Papa: Mkristo n muhimu kujipima mwenyewe kwanza kabla ya kuhukumu wengine
Kabla ya kuwahukumu wengine, ni muhimu kwanza kutazama yako mwenyewe, kuona ni jinsi ulivyo. Baba Mtakatifu Francisko amehimiza katika homilia yake, mapema Jumatatu akiwa katika kanisa dogo la Mtakatifu Marta ndani ya Vatican. Hii imetajwa kuwa h… Soma zaidi »
Usishangae kuona imani yako inatikiswa!
Jumuiya ya Domenico Tardini maarufu kama Jumuiya ya Nazareth katika maadhimisho ya Miaka 70 tangu kuanzishwa kwake, ilipata nafasi ya uwepo na ushiriki wa Baba Mtakatfu Francisko, Jumamosi tarehe 18 Juni 2016. Ulikuwa ni muda muafaka wa kukazia umuh… Soma zaidi »
Papa Francisko awatembelea Wakleri wazee na wagonjwa waliosahaulika!
Baba Mtakatifu Francisko katika maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu amejiwekea utaratibu wa kufanya walau tendo la huruma katika “Ijumaa ya huruma ya Mungu! Wakati wa maadhimisho ya Jubilei ya Wakleri sanjari na Sherehe ya M… Soma zaidi »
BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA: UJUMBE MZURI WA VATICAN KWA WAISLAMU WOTE KWA MWEZ...
UJUMBE MZURI WA VATICAN KWA WAISLAMU WOTE KWA MWEZ...: Dear Muslim brothers and sisters, 1. The month of Ramadan and ‘Id al-Fitr is an important religious event for Muslims around the worl...… Soma zaidi »
MASOMO YA MISA, JUNI 18, 2016
Wasanii wa mitaani wafunika ile mbaya mjini Vatican!
Maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu kwa wasanii wa mitaani, yamefikia kilele chake, Alhamisi tarehe 16 Juni 2016 kwa wasanii hawa kukutana na Baba Mtakifu Francisko mjini Vatican, ili kumtolea ushuhuda wa kazi na utume wao h… Soma zaidi »
Yesu Kristo ni ufunuo wa huruma ya Mungu!
Maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu ni kipindi muafaka cha toba na wongofu wa ndani; ni wakati wa kupyaisha imani, matumaini na mapendo; kwa kujenga na kuimarisha mahusiano na Mwenyezi Mungu kwa njia ya Sala, Tafakari ya Nen… Soma zaidi »
KONGAMANO LA EKARISTI TAKATIFU PICHANI
KONGAMANO LA EKARISTI TAKATIFU PICHANI… Soma zaidi »
Waraka Mpya: "Upyaisho wa Kanisa"
Hirakia ya Kanisa na Karama ni mambo yanayokamilishana katika maisha na utume wa Kanisa. Hiki ndicho kiini cha Waraka wa Baraza la Kipapa la Mafundisho Tanzu ya Kanisa, “Iuvenescit Ecclesia” “Upyaisho wa Kanisa” uliozinduliwa rasmi tarehe 14 Juni 20… Soma zaidi »
Je, uko tayari kumsamehe na kumwombea adui yako?
Waamini wanahamasishwa kusali na kuwaombea wale wote wasiowatakia mema, ili waweze kuwa watu wema zaidi na waamini wenyewe kuendelea kuwa kweli ni watoto wa Baba mwenye huruma na kama sehemu ya mchakato wa kuwa wakamilifu kama Baba yao wa mbinguni a… Soma zaidi »
Jumuiya ya Kimataifa isitoe kisogo kwa watu wanaokufa kwa njaa!
Baba Mtakatifu Francisko, Jumatatu tarehe 13 Juni 2016 ametembelea Makao makuu cha Shirika la Mpango wa Chakula Duniani, WFP na kupata nafasi ya kukutana na kuzungumza na wajumbe wa Baraza kuu la watendaji wa shirika hili katika mkutano wao wa Mwaka… Soma zaidi »
kutukana ni kuua kiroho
Kusema hiki na kutenda kinyume chake huo si ukatoliki. Ni lazima kuchagua moja au kuwa mtu wa dini au bila dini. Ni mahubiri ya Papa Francisko wakati akiongoza Ibada ya Misa mapema Alhamis katika Kanisa dogo la Mtakatifu Marta la mjini Vatican. Pap… Soma zaidi »
Papa Francisko kutinga Poland kuanzia tarehe 27 - 31 Julai 2016
Ratiba elekezi ya maadhimisho ya Siku ya 31 ya Vijana Duniani kwa mwaka 2016, Jimbo kuu la Cravovia, Poland inayoongozwa na kauli mbiu “Heri wenye rehema maana hao watapata rehema” imetolewa. Baba Mtakatifu Francisko anatarajiwa kuondoka kutoka Rom… Soma zaidi »
Pamoja na Kristo ninyi ni wachungaji kati ya watu!
Utekelezaji wa changamoto ya Uinjilishaji mpya unaojikita katika ushuhuda wenye mvuto na mashiko ni dhamana endelevu ambayo Kristo Yesu amelikabidhi Kanisa lake, lakini maisha na wito wa Kipadre unajikita kwa namna ya pekee katika dhamana ya kuinjil… Soma zaidi »
Papa asema, miujiza ya Kristo huonyesha upendo na huruma ya Mungu kwetu
Jubilei ya wagonjwa na walemavu!
Maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu kwa wagonjwa na walemavu kuanzia tarehe 10- 12 Juni 2016 yanaongozwa na kauli mbiu “Huduma makini kwa watu walioathirika kwa ugonjwa wa Ukoma kwa kuheshimu utu wao”. Kilele cha maadhimisho… Soma zaidi »
Kongamano la Ekaristi Takatifu Argentina!
Baraza la Maaskofu Katoliki Argentina kuanzia tarehe 16 – 19 Juni 2016 linaadhimisha Kongamano la XI la Ekaristi Kitaifa, sanjari na maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 200 tangu Argentina ilipojipatia uhuru wake. Kardinali Giovanni Battista Re, Rais m… Soma zaidi »
MATANGAZO YA UPADRISHO.
Miaka 500 ya Mageuzi ya Kiluteri, Papa Francisko kushiriki!
Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 500 tangu yalipofanyika mageuzi makubwa ndani ya Kanisa yatafanyika tarehe 31 Oktoba 2016 huko Lund, Uswiss katika awamu kuu mbili. Awamu ya kwanza ni Liturujia itakayoadhimishwa kwenye Kanisa kuu la Lund, Uswiss na b… Soma zaidi »
Sr. Maria Elizabeth Hesselblad ni nguzo ya Uekumene wa huduma
Kardinali Pietro Parolin, Katibu mkuu wa Vatican, Jumatatu tarehe 6 Juni 2016 ameadhimisha Ibada ya Misa Takatifu kwa ajili ya kumshukuru Mungu baada ya Sr. Maria Elizabeth Hesselblad kutangazwa kuwa Mtakatifu, tukio ambalo lina utajiri mkubwa wa ma… Soma zaidi »
Papa : Heri Nane za Mlimani ni dira ya Maisha ya Kikristo
Baba Mtakatifu Francisko amewataka Wakristo wote :Kufuata na kuziishi Heri Nane zilizotangwa na Yesu, kama dira ya maisha ya haki kwa Wakristo. Papa alitoa mwaliko huo wakati wa Ibada ya Misa , mapema Asubuhi Jumatatu hii, katika kanisa dogo la Mta… Soma zaidi »
KWANINI NYIE WAKATOLIKI MNAUNGAMA DHAMBI KWA PADRE AMBAYE NI MWANADAMU NA MDHAMBI BADALA YA KUUNGAMA MOJA KWA MOJA KWA MUNGU?
Pengine umewahi kuulizwa swali hili au umewahi kujiuliza: hapa ni maelezo yatayokusaidia kuelewa sababu (japo sio zote) na uhalali wa jambo hilo. Hapa tunaongozwa na maneno ya Bwana Yesu mwenyewe alipotoa amri hiyo kwa mitume wake akisema; "Pokeeni … Soma zaidi »
PADRE NI NANI?
Watakatifu wapya ni mashuhuda wa Fumbo la Ufufuko!
Liturujia ya Neno la Mungu, Jumapili ya 10 ya Kipindi cha Mwaka C wa Kanisa inaonesha kiini cha imani ya Kanisa, yaani ushindi wa Mungu dhidi uchungu na kifo. Injili inaonesha matumaini yanayobubujika kutoka katika Fumbo la Pasaka ambalo kwalo Krist… Soma zaidi »
KONGAMANO LA EKARISTI TAKATIFU
NENA BWANA_MZUMBE MBEYA
JUMAPILI YA 10 YA MWAKA C
MASOMO YA MISA, JUNI 5, 2016 SOMO 1 1 Fal. 17:17-24 Mwana wake yule mwanamke, bibi wa nyumba ile, aliugua; ugonjwa wake ukazidi hata akawa hana pumzi tena. Akamwambia Eliya, Nina nini nawe, Ee mtu wa Mungu je! Umenijulia ili dhambi yangu ikumbukwe, … Soma zaidi »
HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU
Ibada ya Moyo Mtakatifu wa Yesu ni moja ya ibada zinazojulikana sana katika Kanisa Katoliki. Ibada hii inauona Moyo wa Kibinadamu wa Yesu kama mwakilishi wa Mapendo yake ya Kimungu kwa wanadamu, na Kanisa nayo inaiona kama Mapendo na Huruma ya Yes… Soma zaidi »
Lindeni na kutunza mazingira nyumba ya wote!
Baba Mtakatifu Francisko, Jumatano tarehe 1 Juni 2016 kabla ta katekesi yake, alikutana na kuzungumza na wawakilishi wa Taasisi ya “Jainology” kutoka London, Uingereza na kuwapongeza kwa kusimama kidete kulinda na kutunza mazingira, zawadi ambayo Mw… Soma zaidi »
Sherehe ya Moyo Mtakatifu wa Yesu
SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU KRISTO SOMO 1 Eze. 34:11-16 Bwana Mungu asema hivi: Tazama, mimi mwenyewe, naam, mimi, nitawatafuta kondoo zangu, na kuwaulizia. Kama vile mchungaji atafutavyo kondoo zake, siku ile anapokuwa kati ya kondoo zake wal… Soma zaidi »