Kila mwaka ifikapo tarehe 31 Mei, Kanisa linaadhimisha Siku kuu ya Bikira Maria kumtembelea binamu yake Elizabeth sanjari na kufungwa mwezi ...
SOLMIZATION
Solmization ni mfumo au utaalamu au kanuni za kutambua au kutumia silabi ili kutambulisha sauti tofautitofauti katika ngazi (yoyote) step kw...
Sherehe ya Ekaristi Takatifu – Maana halisi ni maandamano
Tunaadhimisha Sherehe ya Mwili na Damu Takatifu ya Bwana wetu Yesu Kristo kila mwaka siku ya Alhamisi inayofuata baada ya kuadhimisha Shere...
Ekaristi Takatifu ni chemchemi ya utume wa Kanisa!
Maadhimisho ya Sherehe ya Ekaristi Takatifu nchini Italia imekuwa pia ni fursa kwa waamini kuanza maandalizi ya maadhimisho ya Kongamano...
Jubilei ya Mashemasi wa kudumu
Mashemasi ni watumishi na mitume wa Kristo wanaotumwa kumtangaza na kumshuhudia Yesu kwa njia ya huduma ya mapendo. Yesu Kristo amejifunua ...
Ekaristi Takatifu ni maisha ya kujisadaka!
Tangu zamani za kale Waisraeli walitolea sadaka za wanyama na mazao kama alama ya shukrani. Hata wakati waisraeli walipotoka utumwani Mi...
JE,MAMLAKA YA PAPA INAPATIKANA WAPI KATIKA BIBLIA?
• KWANINI MTU AKICHAGULIWA KUWA PAPA HUWA ANABADILISHA JINA? • KWANINI MNAMWITA PAPA "BABA MTAKATIFU",JE NI KWELI YEYE NI MTAKA...
UFUNDISHAJI WA KWAYA
Unapoimba kipande cha sentensi ya wimbo ili kuwaelekeza waimbaji wako wanachopaswa kuimba, waachie warudie peke yao ulichowaimbia bila ya ...
WANAWAKE KUONGOZA NAFASI ZA JUU KANISANI?
Papa Francis ameongoza majadiliano ya kina hapo jana juu ya jukumu la wanawake kanisani akisema anaangalia uwezekano wa kuanzisha tume ya...
Orodha ya Mataifa fisadi zaidi Afrika Mashariki
Baada ya waziri mkuu wa Uingereza David Cameron kunaswa na kamera akiidunisha Nigeria kuwa mafisadi wakuu kote duniani BBC imeamua kuangazi...
Kardinali ashambuliwa kwa risasi nchini Nigeria!
Baraza la Maaskofu Katoliki Nigeria linaitaka Serikali ya Nigeria kuhakikisha usalama wa raia mali zao dhidi ya mashambulizi na vitendo vya...
JARIBIO LA KUMUUA PAPA JOHN PAUL WA PILI LILIVYOSH...
JARIBIO LA KUMUUA PAPA JOHN PAUL WA PILI LILIVYOSH...
KOMESHENI NDOA ZA JINSIA MOJA-RUWA'ICHI
Askofu mkuu wa jimbo kuu katoliki Mwanza Yuda Thadei Ruwaichi amekemea vikali ndoa za jinsia moja na kusema sasa ni wakati muafaka kwa jami...
Ni wajibu wa wabatizwa wote kumtangaza Kristo
Ni wajibu wa wabatizwa wote kumtangaza Kristo kila mahali Baba Mtakatifu Francisko, Jumapili akisali sala ya Malkia wa Mbingu,Jumapili...
SHEREHE YA PENTEKOSTE
Jumapili tarehe 15 mei ni sherehe ya Pentekoste. Masomo SOMO1. MATENDO 2:1-11 SOMO2. 1KOR 12:3b-7,12-13 AU WARUMI 8:8-17 INJILI; YOHANE...
Sherehe ya Kupaa Bwana Mbinguni!
Amepaa mbinguni na ameketi mkono wa kuume wa Mungu. Nasi tumekabidhiwa jukumu la kuendeleza utume na kutangaza ufalme wa Mungu. Tunaongozw...
PAPA APOKEA TUZO YA KIMATAIFA
Baba Mtakatifu Francisko Ijumaa hii majira ya adhuhuri, alipokea Tuzo ya Kimataifa ya Charlemagne kutoka kwa ujumbe wa Bunge la U...
Papa amemteua Askofu mkuu Francisco Montecillo Padilla, kuwa Balozi
Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu mkuu Francisco Montecillo Padilla, kuwa Balozi mpya wa Vatican nchini Kuwait na mjumbe wa kitu...
HIARI YA BINADAMU-CD
Ni audio CD nzuri sana iliyo andaliwa na kijana Stephano Ngunzwa katika studio za RAJO PRODUCTIONS chini ya Mkurugenzi/mtayarishaji...
Fahamu jinsi ya kuvuka vikwazo katika maisha
Kabla ya kuandika makala hii niliwauliza baadhi ya watu kama kuna vikwazo vinavyowakabili katika maisha ambavyo wameshindwa kuvivuka. Wen...
MADHARA YA POMBE KWA MAMA MJAMZITO
P OMBE ni kinywaji kinachotumiwa na watu wa jinsia mbalimbali huku kinywaji hicho kikizuiliwa kuuzwa na kutumiwa kwa watoto chini ya miak...
Polycarp Pengo
Alizaliwa Mwazye (mkoa wa Rukwa) tarehe 5 Agosti 1944.Baada ya masomo ya ngazi. Kisha kufundisha somo hilo kwa muda mfupi kwenye seminar...
WASIFU WA BERNARD MUKASA.
Bernard Mwombeki Mukasa anaimba sauti ya nne, kwaya ya Mt. Kizito Parokia ya Mwenyeheri Anuarite - Makuburi, Dar Es Salaam.Mwak...
KUHUSU SISI
Hii ni blog inayohusu mambo ya Jamii,Dini kama Nyimbo,habari za dini,mafundIsho,masomo katika Biblia,wasifu wa watu mbalimbali n.k Hivyo n...
DOMINIKA YA KUPAA BWANA MBINGUNI
MWANZO: Enyi watu wa galilaya SOMO1: Matendo 1:1-11 SOMO2: Heb 9:24-28,10:19-23 ...
Papa amteua Padri Kassala kuwa Askofu mpya Jimbo la Geita
Papa amteua Padri Kassala kuwa Askofu mpya Jimbo la Geita B aba Mtakatifu Fransisko amemteua Padri Flavian Kassala kuwa askofu mpya wa ...
Waislamu ni ndugu
Papa: Wakristo na Waislamu ni ndugu Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Baba Mtakatifu Francis amesema Wakristo na Waislamu ni ndugu, hi...
WASILIANA NASI
WASILIANA NASI Kwa lolote usisite kuwasiliana nasi Simu: 0762 380376 Barua Pepe: Laurent.ludovick@gmail.com La...
TAARIFA
MT. RITA WA KASHIA Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili Mavurunza Jimbo Kuu la Dar es Salaam inawatangazia waam...
NENO
NENO LA FARAJA! Neno la MUNGU linahuisha; maana ndani yake ipo faraja! "Na ahimidiwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, Bab...
JMC- TETEMEKO
A Albamu TETEMEKO ya kwaya ya Mt. Yohane Paulo II(Wana Mlipuko wa Sifa) sasa inapatikana maeneo yafuatayo:-
DVD YA BERNARD MUKASA
Ile DVD iliyokuwa ikisubiliwa kwa hamu sasa inapatikana Dukani NANI ANGESIMAMA?
MBINU ZA UIMBAJI
MBINU ZA UIMBAJI Nazipongeza kwaya zetu nyingi kwa kujitahidi kufanya vizuri kila siku. Jambo ambalo walimu wengi wa kwaya wanalisah...
NAMNA YA KUPATA MCHUMBA
KUNA MIFUMO MIKUU YA KUPATA WACHUMBA WATU HUTUMIA 1. MFUMO WA KIMUNGU- PRAY FIRST THEN SEE Yaani OMBA kwanza ndipo UONE 2. MFUMO WA K...